Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
- Thread starter
- #41
😆😆😆😆
😆😆😆😆
Punda bila mijeledi haendiKWELI UNA HASIRA YAN KICHWA CHA HABARI TU KIREFUUUUUU KAMA HABARI KAMILI
....kweli kabisa mkuu.View attachment 1341777
Hili ni angalizo ambalo nalipeleka moja kwa moja kwa vijana wachache ambao bado ni wanaCCM, maana vijana wengi wameachana na hicho chama, vijana wa CCM wa hapa JF na kwingineko nawaomba sana mtambue kwamba CCM haina nia wala uwezo wa kuwasaidia mnapopata matatizo , tena matatizo yenyewe ni yale yanayosababishwa na siasa hizo hizo mnazokesha kuzifanya hadharani na mitandaoni.
Ukipata tatizo na hata kama ulipata tatizo baada ya kutumwa na chama chako utatelekezwa , naandika haya baada ya ID nyingi mpya za wafia chama kumwagwa humu JF utadhani nzige wa Kenya, bahati mbaya ni kwamba waliomwagwa wana uwezo mdogo mno wa kujenga hoja hivyo hawasumbui chochote, tambueni kwamba kazi mnayoifanya ya kutetea CCM humu ni sawa na kazi ya bure.
Jiulize kati ya wewe kapuku na Nape, January, Lugola, Manji, MO, Kinana, Makamba, Kikwete nani ni zaidi? ukishapata majibu endelea kutoa povu humu na kwingineko ukidhani ccm itakusaidia .
ona Nape analalamika eti rafiki yangu rafiki yangu tusifanyiane fujo. Unamwitaje mtu rafiki huku kakushikia bunduki??Nape pamoja na jitihada zake zote za 2015 kupambana akiwa na Kinana huko maporini hadi kuvunjika mkono ili kufanikisha goli la mkono, vijana wa Makonda asiye na mchango wowote zaidi ya mambo yake ya siri na mwenyekiti wanamdhalilisha kiasi hiki na kisha na kutupwa nje pamoja na kutenda haki.
CCM ni sawa na kundi la mbwa mwitu, ukipata jeraha wakati mnashambulia kitoweo nawe unaliwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana yoyote anayetegemea CCM au Chadema kumsaidia kimaisha ni MPUMBAVU. Uongozi ni kujitolea kusaidia kupigania watu siyo kusaidiwa wewe.View attachment 1341777
Hili ni angalizo ambalo nalipeleka moja kwa moja kwa vijana wachache ambao bado ni wanaCCM, maana vijana wengi wameachana na hicho chama, vijana wa CCM wa hapa JF na kwingineko nawaomba sana mtambue kwamba CCM haina nia wala uwezo wa kuwasaidia mnapopata matatizo , tena matatizo yenyewe ni yale yanayosababishwa na siasa hizo hizo mnazokesha kuzifanya hadharani na mitandaoni.
Ukipata tatizo na hata kama ulipata tatizo baada ya kutumwa na chama chako utatelekezwa , naandika haya baada ya ID nyingi mpya za wafia chama kumwagwa humu JF utadhani nzige wa Kenya, bahati mbaya ni kwamba waliomwagwa wana uwezo mdogo mno wa kujenga hoja hivyo hawasumbui chochote, tambueni kwamba kazi mnayoifanya ya kutetea CCM humu ni sawa na kazi ya bure.
Jiulize kati ya wewe kapuku na Nape, January, Lugola, Manji, MO, Kinana, Makamba, Kikwete nani ni zaidi? ukishapata majibu endelea kutoa povu humu na kwingineko ukidhani ccm itakusaidia .
Kesho tuonane Pale LUMUMBA nikupe kadi ya chamaView attachment 1341777

Wacha weeee!!!Mleta maada wewe ni kijana uliyemaliza Chuo hivi karibuni,acha tabia zako,CCM inajali vijana wake na ndio maana fursa nyingi inawapa,wewe kukaa kubwabwaja humu unapewa fursa gani na Mbowe wako??????
😆😆😆 mnataka kuninunua kwa bei gani ?Kesho tuonane Pale LUMUMBA nikupe kadi ya chama
Huna uzito wa kununuliwa. Wewe supu na chapati mbili zinakutosha.[emoji38][emoji38][emoji38] mnataka kuninunua kwa bei gani ?
Jamani hata hela ndogo kama aliyopewa kafulila nayo hamnipi ?Huna uzito wa kununuliwa. Wewe supu na chapati mbili zinakutosha.
Labda upewe ya nauli tuJamani hata hela ndogo kama aliyopewa kafulila nayo hamnipi ?