Naunga mkono hoja na umeongezae mle mle kwenye ushauri naowapaga.Hii nchi mambo hayajawahi kuw rahisi ila kuna awamu huwa zina nafuu kukiwa na raisi mswahili.
kipindi cha Mwinyi watu walizikamata sana, kipindi cha kikwete ilikuwa utawala sana kwa raia na kipindi hiki nikujuze tu ya kwamba watu wanapiga maokoto sio mchezo.
Rais ajae hali inaweza kurudi kuwa vyuma vya kukaza kwa miaka 10 mfululizo,
kipindi hicho ni cha kula maokoto ya sasa shughuli zako uwe unafanya kwa kuzuga tu maana vyuma vitakazwa sanaNaunga mkono hoja na umeongezae mle mle kwenye ushauri naowapaga.
Saizi Kila sekta unapata pesa Sasa bubiria aje Rais mnaemtaka mwenye hulka ya Mwendazake mtaishia kuwa maskini wa kutupwa.
Atavuruga Kilimo, biashara,mahusiano na kuanzisha propaganda za kumuabudu na wote mtaufyata.
Ccm Huwa wako tayari wakose hela sio madalaka maana Vigogo watendelea kuwepo.
Wafanyabiashara wamejifunza Kwa yaliyowapata wakati wa chumakipindi hicho ni cha kula maokoto ya sasa shughuli zako uwe unafanya kwa kuzuga tu maana vyuma vitakazwa sana