Ewe kijana wa kiume unapata wapi tabia na ujasiri wa kulala na mama yako mzazi?

Huyo mama naye ana mawazo gani? Mtoto anaweza akadanganywa kuwa huyo si mama yake, je mana aliyemzaa huyo kijana ana sababu gani ya kumlala?
 
Mtoto anazaa akiwa na miaka 16, mwanaye akifikisha miaka 20(kapevuka),mama anakuwa na miaka 36(bado mbichi kabisa analika).
 
Kama sio mama wa kufikia basi hapo ni ushirikina unahusika 100%
 
Unajiuliza, kwa nini nilifungua hii thread! Futseke!
 
Kuna evidence yoyote hapo, au jamaa yupo karibu tu na mama yake kipenzi wapumbavuu mmeanza kuongea ujinga. Hizi tuhuma nzito sana sio za kuongea ongea tu.
 
Hiyo ni kesi ya jinai kosa linaitwa INCEST. Pia kutoripoti kosa la jinai likitendeka unatazama tu nalo ni kosa la jinai. Mtaa mzima mnatakiwa mtiwe ndani mnaona uhalifu unatendeka hamripoti mnatazama tu😄😄😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…