Ewe Kiongozi Mwandamizi wana Yanga SC 'wameshakushtukia' kuwa ndiyo umemuuza Feitoto Azam FC hivyo waombe radhi yaishe

Ewe Kiongozi Mwandamizi wana Yanga SC 'wameshakushtukia' kuwa ndiyo umemuuza Feitoto Azam FC hivyo waombe radhi yaishe

Kwa Feisal natamani sana aondoke Yanga kama ataenda Ulaya atakuwa amefanikiwa ila kama ataenda Azam fc atakuwa Dumayo wa pili kwa hiyo ndio itakuwa bye bye… Ila Yanga ya Sasa inamuitaji sana Aziz Ki ambae anaweza kufanya vitu vingi sana kuliko Feisal… Chukua pesa ya Feisal mlete Bobosi na beki moja fundi kama Inonga alafu ongeza na Winga kama Luis konge boy mbona Simba watakula 5 siku pale taifa…
 
muachieni huyu jamaa.🤣🤣mbona mnambana Sana😁😁
 
Back
Top Bottom