Ule uwanja ni kwa ajili ya mkoa wa Geita sio Chato. Hata Mwanza kama kuna emergency ndege inaweza kutua chato kwa muda...wananchi wa chato hawahitaji uwanja wa ndege wa kimataifa.
Vipi kagera mtaombaje kura wakati mlisema tetemeka wamejitakiaTundu Lisu hujui geography ya Tanzania? Kwako Chato iko nchi gani?
Kila siku anatukana watu wa Chato kwa kupelekewa maendeleo...
Naomba unipe manufaa matano ya uwanja wa ndege wa chato kwa wanachatoTundu Lisu hujui geography ya Tanzania? Kwako Chato iko nchi gani?
Kila siku anatukana watu wa Chato kwa kupelekewa maendeleo...
Ukitaja mambo matano nakutumia buku 100000 sasa hiviTundu Lisu hujui geography ya Tanzania? Kwako Chato iko nchi gani?
Kila siku anatukana watu wa Chato kwa kupelekewa maendeleo...
Ule uwanja ni kwa ajili ya mkoa wa Geita sio Chato. Hata Mwanza kama kuna emergency ndege inaweza kutua chato kwa muda.
Ile uwanja umejengwa ktk shamba la mnya rwanda..wananchi wa chato hawahitaji uwanja wa ndege wa kimataifa.
Kwako wewe unaekariri maneno ya msomi uchwala Lissu. Kwetu sisi Geita na Mwanza una umuhimu...amelazimisha tu.
..huo uwanja umejengwa halafu ndio unatafutiwa justification?
..it is a WHITE ELEPHANT project.
Mkoa wa Geita ulikuwa nauwanja wa ndege?Hata wao wanashangaa sio kipaumbele Chao ni Cha mtawala, pia ni kiashiria Cha kung'ang'ania madarakani.