Uchaguzi 2020 Ewe Lissu, hata watu wa Chato ni wapiga kura wako

Uchaguzi 2020 Ewe Lissu, hata watu wa Chato ni wapiga kura wako

Kwako wewe unaekariri maneno ya msomi uchwala Lissu. Kwetu sisi Geita na Mwanza una umuhimu.
Mwanza siyo hatimiliki yako pekee, hata mimi ni mtu wa mwanza na chato pia, sioni faida ya Chato international airport.

Niambie ndege zilizotua chato ukiacha mseveni na kenyatta na bmbardier ya jiwe alipokimbia korona kapaki hapo
 
Naomba unipe manufaa matano ya uwanja wa ndege wa chato kwa wanachato
1.Kujifunzia kuendesha bodaboda na baiskeli.
.2.Kuanikia mahindi, unga, mihogo,
3.Kijiwe Cha kuvutia,
4.kuchungia
5.playground za watoto kuchezea.
Kwa uchache,hayo Ni matumizi mbadala pia.
 
Mwanza siyo hatimiliki yako pekee, hata mimi ni mtu wa mwanza na chato pia, sioni faida ya Chato international airport.


Niambie ndege zilizotua chato ukiacha mseveni na kenyatta na bmbardier ya jiwe alipokimbia korona kapaki hapo
Mpaka uzione au uambiwe? Mwanza ilikuwa ngome ya Chadema baada ya Uchagadema waliomletea Jakaya iko wapi Chadema?
 
Kwani siyo kweli kwamba uwanja wa ndege umejengwa Chato nyumbani kwa Magufuli?, kama ni suala la kuwagawa wananchi nafikri anayeongoza kuwa gawa wananchi ni mgombea wa CCM mwenyewe,ambaye akiwa maeneo ya nyumbani kwao anasema kuwa wananchi wa huko wampigie kura kama mtoto wa nyumbani,

Na wengine anawaambia kuwa hawezi kupeleka maendeleo kwao kwa kuwa walichagua upinzani na katika uchaguzi ujao wachague maendeleo au majuto kwa kipindi cha miaka5.
 
Kwani siyo kweli kwamba uwanja wa ndege umejengwa Chato nyumbani kwa Magufuli, kama ni suala la kuwagawa wananchi nafikri anayeongoza kuwa gawa wananchi ni mgombea wa CCM mwenyewe ambaye akiwa maeneo ya nyumbani kwao anasema kuwa wananchi wa huko wampigie kura kama mtoto wa nyumbani, na wengine anawaambia kuwa hawezi kupeleka maendeleo kwao kwa kuwa walichagua upinzani na katika uchaguzi ujao wachague maendeleo au majuto kwa kipindi cha miaka5.
Niondolee uelewa mdogo wa mambo usoni pangu. Kwani watu kusema homeboy ndio kugawa watu?
 
Huoni agawe watu kweli, sio rais wako ndio anagawa watu kwa kuongea mpaka kisukuma...!?

Sio hayo tu ,anawabagua Watanzania ktk kuwaletea Maendeleo yao ambayo ni Haki yao kwa Sababu hawa kumchagu wakati ni walipa Kodi kama Wananchi wa Sehemu nyingine yoyote hapa Tanzania.
 
BASHITE "Elitwege" umerudi tena, ulisusaje,, au umesha ahidiwa teuzi tena.
 
Back
Top Bottom