Kila mwenye akili timamu anafahamu ni uenda wazimu Chato kujenga Uwanja wa Ndege wa Kimataifa!
Na kama Chato kuna wenye akili timamu, nao watafahamu kwamba kilichopelekwa kwao ni uendawazimu kwa sababu yapo mambo mengi sana ya msingi wanayohitaji kuliko huo uwanja wa ndege!
Na atakayefahamu kwamba huo ni uenda wazimu, atamchagua TL hata TL asipoenda Chato kufanya kampeni!
Lakini kama wote wana akili za kiuendawazimu kama ulivyo uenda wazimu wa kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa Chato, basi waendelee tu kuunga mkono uendawazimu!
Ni heri msafara wako uwe ni mtu mmoja tu ambae ni timamu kuliko kuwa na watu mia moja ambao wote sio timamu!