Uchaguzi 2020 Ewe Lissu, hata watu wa Chato ni wapiga kura wako

Tundu Lissu hujui geography ya Tanzania? Kwako Chato iko nchi gani?

Kila siku anatukana watu wa Chato kwa kupelekewa maendeleo

Huyu Lissu tunamsubiri ataenda kuomba vipi hizo kura Chato na mkoa wa Geita kwa ujumla.

Wana Chato na Geita kwa ujumla tunaomba mtoe fundisho kwa wagombea wa namna hii wenye lengo la kuwagawa Watanzania badala ya kuwafanya wawe kitu kimoja.
Mawazo ya nguruwe uliyonayo

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Mgombea wenu aliwaongelea wale wahuni Wa sisihemu waliotaka kuvuruga mkutano...hill hukuliona.
 
Tundu Lissu hujui geography ya Tanzania? Kwako Chato iko nchi gani?

Kila siku anatukana watu wa Chato kwa kupelekewa maendeleo

Huyu Lissu tunamsubiri ataenda kuomba vipi hizo kura Chato na mkoa wa Geita kwa ujumla.

Wana Chato na Geita kwa ujumla tunaomba mtoe fundisho kwa wagombea wa namna hii wenye lengo la kuwagawa Watanzania badala ya kuwafanya wawe kitu kimoja.
Umefurahi Lisu kupigwa mawe?

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mama yako Niko nae namalizia goli la tatu

Wewe unajua mama yako alipo hivi sasa?
Labda kama yupo ahera, otherwise si ajabu yeye akawa anapigwa mtungo na njemba sita pande zote!
 
Tundu Lissu hujui geography ya Tanzania? Kwako Chato iko nchi gani?

Kila siku anatukana watu wa Chato kwa kupelekewa maendeleo

Huyu Lissu tunamsubiri ataenda kuomba vipi hizo kura Chato na mkoa wa Geita kwa ujumla.

Wana Chato na Geita kwa ujumla tunaomba mtoe fundisho kwa wagombea wa namna hii wenye lengo la kuwagawa Watanzania badala ya kuwafanya wawe kitu kimoja.
Wana Chato wamempokea kwa bashasha na heshima kubwa! Wanamuunga mkono katika kupinga udikteta wa Magufuli na matumizi mabaya ya rasilimali za nchi, je una hoja?
 
Back
Top Bottom