Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
Tundu Lissu hujui geography ya Tanzania? Kwako Chato iko nchi gani?
Kila siku anatukana watu wa Chato kwa kupelekewa maendeleo
Huyu Lissu tunamsubiri ataenda kuomba vipi hizo kura Chato na mkoa wa Geita kwa ujumla.
Wana Chato na Geita kwa ujumla tunaomba mtoe fundisho kwa wagombea wa namna hii wenye lengo la kuwagawa Watanzania badala ya kuwafanya wawe kitu kimoja.
Nadhani tayari Lisu kafika Geita na kapokelewa vema ...hii nchi ni ya wote ......, kwenye wilaya nyingine JPM anafika anawatisha watu kuwa atawanyima maendeleo wakichagua upinzani ......sasa jiulize hata nyumbani Geita kumbe pia hawapendi ubaguzi
Hongera Sana Geita