Uchaguzi 2020 Ewe Lissu, hata watu wa Chato ni wapiga kura wako

Uchaguzi 2020 Ewe Lissu, hata watu wa Chato ni wapiga kura wako

Yaani umuhimu wa uwanja wa ndege mpaka utajiwe? Kuna ndege kibao zinashuka Geita kupitia huu uwanja.
hahahahahahah acha ujinga wewe tanzania ya leo sio ya miaka ya 60. tunahoji ni utaratibu upi umetumika kujenga huo uwanja? kwanini muswada haukupelekwa bungeni?
 
Hapo unaona aibu shenziiii.
Leo Lisu umefika Geita umekiona cha mtema kuni
Hii video hapa inaonesha Lissu alipoingia katoro kilometa 2 kutoka chato cheki raia walivyo mlaki na kulikataa JIWE.
 
Anafanya kampeni na ni mgombea Urais so mmbunge. Rais ni wa Jamhuri ya Tanzania na sio Singida pekeyake. Magufuli anavyo tembelea mikoa mingine nikosa. Tusijenge hoja za kichochezi za kugawa wananchi.
Tayari tumeona ndani ya miaka Kitano upendeleo wa wazi wa mikoa Fulani na kuaicha mingine. Sio haki kabisa, ukiwa rahisi una pashwa kua extra careful sana kwa maamuzi ya nchi. Tundu Lissu hajawatukana wananchi wa Geita.
 
Uchaguzi ni hesabu, huko chatto wako wangapi, kati milioni 29 waliojiandikisha
 
Polepole yupo live,tulia anapangua moja baada ya moja. Nipo Segese nakunywa Balimi huku namsikiliza.
Mimi jana Geita nilikuwa namsikiliza Lissu kwa makini sana baadae ndio nikamtuma shemeji yako Konyagi huku nikizitafakari sera ile Sera ya HAKI niliipenda sana
 
Back
Top Bottom