Mkuu wewe ni mchochezi na mchonganishi wa viwango vya hatari! Yeye Lissu hakusema Chato hakuna watanzania japo kuna taarifa za uwepo wa warundi, lakini kubwa analopigia kelele ni kupeleka miradi mikubwa huko katika namna ya mwambangoma kwamba kamba anavutia kwake ilihali miradi yenyewe iliyopelekwa kama airport haikustahili kujengwa huko, badala yake angejenga hata kiwanda cha kusindika samaki wanaovuliwa pale, kingegusa wananchi wengi wa Chato, Sasa hebu fikiria ule uwanja wa ndege wa kimataifa akistaafu yeye nani tena atautumia?? Utabaki useless , sababu uwanja unaotumika ni ule Mwanza!