Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Wanaolalamika ni wale waliozoea maeneo yao kupata upendeleo mpaka wakaona ni haki kwao tu kuwa na miundo mbinu bora.Ule uwanja ni kwa ajili ya mkoa wa Geita sio Chato. Hata Mwanza kama kuna emergency ndege inaweza kutua chato kwa muda.
Kama taifa tulifikia mahali ambapo baadhi ya maeneo yakajipa uhalali wa kuwa na vilivyo bora .
Halafu watu hao ndio wanamuita rais kuwa ni mtu mkabila wakati wao ndio wenye ukabila na ubaguzi mkubwa.