Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Ok,na wewe unatukana watu wa Geita?Atakukuta wewe na nani ?.Usiwasemee wengine sio kila Mtu yupo empty kama wewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok,na wewe unatukana watu wa Geita?Atakukuta wewe na nani ?.Usiwasemee wengine sio kila Mtu yupo empty kama wewe.
Hata watu wa Chato wanafahamu kuwa kinachofanywa na Magufuli si sawa na wala haki.Tundu Lissu hujui geography ya Tanzania? Kwako Chato iko nchi gani?
Kila siku anatukana watu wa Chato kwa kupelekewa maendeleo...
Kama Bwege hawezi kumba stand unalalamika nini?Sio hayo tu ,anawabagua Watanzania ktk kuwaletea Maendeleo yao ambayo ni Haki yao kwa Sababu hawa kumchagu wakati ni walipa Kodi kama Wananchi wa Sehemu nyingine yoyote hapa Tanzania.
View attachment 1569876
Tundu Lissu hujui geography ya Tanzania? Kwako Chato iko nchi gani?
Kila siku anatukana watu wa Chato kwa kupelekewa maendeleo
Huyu Lissu tunamsubiri ataenda kuomba vipi hizo kura Chato na mkoa wa Geita kwa ujumla.
Wana Chato na Geita kwa ujumla tunaomba mtoe fundisho kwa wagombea wa namna hii wenye lengo la kuwagawa Watanzania badala ya kuwafanya wawe kitu kimoja.
Mbona ndege za abiria hazina ruti hukoWe mji wa Chato unaujua? Unajua wavuvi wa Mganza wanaweza kukulisha wewe na ukoo wenu. Acha dharau za kichaga.
Ni wangapi kwa idadi,mnatafuta maneno ya kuokoteza kuhalilisha ufisadi.Watalii wa mbuga ya Burigi - Chato utawaleta juu ya migongo ya nyumbu??
Run way ya kawaida Lissu inamtoa roho.Vilaza wa ufipa ni wa kuacha kama walivyo
Kwako wewe unaekariri maneno ya msomi uchwala Lissu. Kwetu sisi Geita na Mwanza una umuhimu.
Hizo ndiyo zile mbuga ambazo Simba walisombelewa toka mbuga Arusha na SerengetiWatalii wa mbuga ya Burigi - Chato utawaleta juu ya migongo ya nyumbu??
Ule uwanja haujajengwa kwao. Ni mali ya serikali,upanuzi wa uwanja Mza unaendelea.Sasa unalalamika nini?..serikali ilitakiwa kumaliza upanuzi wa mwanza airport.
..badala yake fedha zinatumika kujenga uwanja mpya kujijini kwao Jiwe.
..hayo ni matumizi mabaya ya fedha za umma, na matumizi mabaya ya madaraka.
Kuna tatizo?Hizo ndiyo zile mbuga ambazo Simba walisombelewa toka mbuga Arusha na Serengeti
Ule uwanja haujajengwa kwao. Ni mali ya serikali,upanuzi wa uwanja Mza unaendelea.Sasa unalalamika nini?
Naona ni vyema naye akiambiwa hivyo kauli hizi zinalipa zile kauli zake za msoma kuisusa bunda kwa maneno ya kibaguzi "sitaleta maendeleo kwa wasioichagua ccm"Tundu Lissu hujui geography ya Tanzania? Kwako Chato iko nchi gani?
Kila siku anatukana watu wa Chato kwa kupelekewa maendeleo
Huyu Lissu tunamsubiri ataenda kuomba vipi hizo kura Chato na mkoa wa Geita kwa ujumla.
Wana Chato na Geita kwa ujumla tunaomba mtoe fundisho kwa wagombea wa namna hii wenye lengo la kuwagawa Watanzania badala ya kuwafanya wawe kitu kimoja.
Lipo. Hiyo siyo mbuga ni zoo aka shamba la wanyama pori wa kufungwa. Mtalii gani atakuja kushangaa Simba wa kufugwa wakati kwako kuna zoo nzuri na bora kuliko hiyo yenu ya BurigiKuna tatizo?