Ewe Lissu, wana Ikungi hatujakutuma hayo

We ni moja ya malofa yanayorudisha nyuma maendeleo ya nchi yetu .

Kwa maelezo yako mbungu Sungu anapozunguka jimbo zima akigawa mifuko ya cement ,kuchimba vyoo huwa anatoa wapi hela ?
Muda mwingine nyie malofa nuwe mnakaa na kujipima siyo kutetea ujinga ili mradi tu huo ujinga umefanywa na mmeo Lisu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mtu mwenye uelewa mdogo na finyu kama wewe kumjadili Lissu na hoja zake ni kutojitendea haki. Ni sawa na mtoto wa chekechea kuingia kwenye chumba cha mtihani wa uhandisi ngazi ya PhD.
 
Maendeleo hayaletwi na mbunge ila huletwa na serikali kwa kutumia kodi wanazokusanya toka kwa wananchi.

Sasa kama wao wanakusanya lkn matumizi ndio ya hovyo kama kununulia wapinzani na miradi isiyo na impact kwa maisha ya wananchi basi lazima akina Lissu wageuzwe "Scapegoats" tu.
 
Lakini mbunge Sugu anajenga vyoo na kugawa cement jimboni kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini mbunge Sugu anajenga vyoo na kugawa cement jimboni kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
Anafanya kazi isiyo yake. Serikali inakusanya kodi ya nini sasa. Serikali itumie kodi kuwahudumia wananchi sio kufuja kodi kwa mambo ya kijinga kisha irudi kuwapakazia wapinzani ili kutafuta visingizio. This is absurd.
 
Anafanya kazi isiyo yake. Serikali inakusanya kodi ya nini sasa. Serikali itumie kodi kuwahudumia wananchi sio kufuja kodi kwa mambo ya kijinga kisha irudi kuwapakazia wapinzani ili kutafuta visingizio. This is absurd.
Kwa hiyo unampongeza kwa kufanya kazi isiyo yake ya kuwaletea maendeleo wananchi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikufurahia matatizo yaliyompata lakini, huyu ni mtu wa hovyo tuinapokuja kuwatetea wananchi wa kawaida. Ni huyu na wenzake alimuingiza dada yake Bunge la Katiba. Ni mzembe kama wengine ktksiasa.
 
Duh lakini Chama chenu si ndo huwa kinajitapa kinapeleka maendeleo wanapotaka wao au umesahau yule bwana mdogo wa UVCCM?
 
Ccm mmefilisika kabisa,mlitarajia mfanye maazishi ya Lissu,saizi mmepoteana.
Laana ya damu ya Lissu imawaandama
 


Huyu ni pashukuna la kiume, mithali ya mwanamme wa Dar. Jamaa ni mpuuzi sana na si mtu wa kumtilia maanani hata siku moja.
 
SALAMU ZA MWAKA MPYA: 1

kuna mijitu imejipa kazi za unajimu na kujidai inajua sana mambo hasa kila Rais akitoa maamuzi juu ya jambo fulani mathalani suala hili la kikokotozi...

Utasikia jitu linasema mara tatizo limetengenezwa kisiasa kisha likatatuliwa, mara jambo hilo limefanyika kwa baraka za Rais, mara Rais alikuwa anajua....

Nawapa salamu za Mwaka mpya ndugu wanajimu kuwa msitafute namna ya ku discredit kila jambo zuri linalofanywa na Rais ili mjifurahishe nafsi, haitasaidia, ifike mahali mpongeze na mkiri kuwa tunaye Rais anayejali hali na maslahi ya wananchi.

Kazi ya Urais ni kubwa na inamajukumu ambayo mtu mmoja hawezi kuyafanya yote ndio maana katiba inampa Rais mamlaka ya kuteua wasaidizi katika kila eneo ili wao wafanye kazi kwa niaba yake, sio kila jambo lazima lianzie kwake au lipitishwe kwake, wenye dhamana wana mamlaka ya kupitisha kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni.

Suala la kikokotoo halikupitishwa na bunge kama watu wengi wanavyojidanganya, bunge limetunga sheria na kanuni zimepitishwa na Waziri, suala la kikokotoo ni jambo ambalo kikanuni lilitakiwa kufanywa na mamlaka ya uthibiti "SSRA" na wao wamefanya wakatuletea kikokotoo ambacho kila mtumishi "NIKIWEMO NA MIMI" tuliona sio sawa.

Rais, kwa kusikiliza kilio cha wafanyakazi amewaita wadau wote, akasikiliza na kutoa uamuzi... Kina wanajimu wanahoji eti Rais alikuwa wapi siku zote, Rais hawezi kufanya kila kitu kila siku. Kwanza wanajimu wenyewe watamshangaa kama akihusika kupitisha kanuni wakati ni kazi ya Waziri mwenye dhamana, pia Rais angepitisha kikokotoo LHRC na bunge la EU kesho yake tu wangekuja na waraka wa kurasa 50 usio na kichwa wala miguu [emoji23][emoji23]

Ndugu wanajimu, salamu zangu kwenu ni kwamba tuache kuongozwa na hisia, tusifie pale panapostahili, suala la korosho kadhalika, wanunuzi walitoa bei kandamizi, Rais akawaita wadau wote na kuwaomba wanunue kwa bei "reasonable" wanajimu hawakusita kusema "Serikali imetengeneza tatizo na sasa inajifanya kulitatua" lakini wanunuzi waligoma kununua kwa bei elekezi na Rais akaamua kuwa Serikali itanunua korosho zote.

Sote ni mashahidi, maneno yote, kejeli zote za wanajimu dhidi ya uwezo wa serikali kununua na kubeba korosho zilimalizika baada tu ya bei ya korosho kupanda mara dufu kwenye soko la dunia baada ya Serikali ya Tanzania kuamua kununua korosho yote na kuelekeza korosho yote kubanguliwa hapa nchini, leo hii hakuna mkulima anayelalamika, walanguzi wote wa korosho "kangomba" wamejificha na maamuzi ya Rais yameshinda dhidi ya wanajimu wa kisiasa.

Salamu zangu za Mwaka mpya ni kutaka kuwakumbusha kuwa sio kila jambo linalofanywa na sub ordinate lazima lipitishwe na Rais, kila mwajiriwa wa Serikali anao muongozo kisheria wa majukumu yake na kila taasisi inafanya kazi kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni. Taasisi hizi ni nyingi, kuna taasisi chungu mzima ambazo kila moja inafanya kazi zake kwa uhuru na kwa kuzingatia sheria. Inapotokea taasisi imefanya jambo ambalo limezua taharuki, taasisi ina wajibu wa kujitathimini yenyewe kwanza na kufanya marekebisho, inaposhindwa na jambo likaleta taharuki Rais ni mamlaka pekee mwenye uwezo wa kuingilia kati ama yeye mwenyewe ama wasaidizi wake na kuondoa taharuki (mfano suala la rangi ya Dhahabu kwenye bendera ya Taifa) ingawa wanajimu wanaweza sema kuwa yale maamuzi pia yalipata kibali [emoji23][emoji23][emoji23]

Kikokotoo kiliwakera wengi, maamuzi ya kukiweka kando mpaka 2023 Yamefanyika ili mamlaka ilifanyie kazi jambo hili kwa kushirikisha wadau, bado wanajimu wanateseka na maamuzi, kwani mlitakaje? Au ndio mlihisi mmepata ngazi ya kupandia? Asante JPM kwa kuitegua ngazi.

Heri na fanaka ya Mwaka Mpya 2019



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mbona unahangaika sana na Tundu Lissu? Wapi tulikutuma? Fanya mambo yako achana na Tundu Lissu usilazimishe uadui usio na tija kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaandika marefu mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M
Mwishoe mtakuwa mnakabwa na jimamizi Lissu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…