mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,707
Hata kama hatimizi ondoa kura yako uliyompigia bado atakuwa mbunge wako tu na huna cha kumfanya zaidi ya majungu.Mimi ni mpiga kura wa Tundu Lisu lazima nimsema kama hatimizi ahadi zake
Sent using Jamii Forums mobile app
Subirini moto wa wana Ikungi, hatutavumilia ujingaHata kama hatimizi ondoa kura yako uliyompigia bado atakuwa mbunge wako tu na huna cha kumfanya zaidi ya majungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkiwa mnaomba kura huwa mnawaambia wananchi kwamba sitawaletea maendeleo siyo kazi yangu mimi mbunge?
Sent using Jamii Forums mobile app
HATOSHI KWA CHOCHOTE ZAIDI YA UCHOCHEZI:
Lissu ni mtu ambae ukifatilia uwezo wake wa kuwasaidia wananchi kimaendeleo hawezi kabisa lakini kuwachochea na kuwapandikizia chuki dhidi ya serikali anaweza asilimia mia kokote duniani.
Kwa hiyo Mbunge Sugu anafanya makosa kushinda jimboni akijenga vyoo na kugawa cement kila kata?Hivi mzima ww? Tumia akili sio kubisha tuu. Haya mambo tulishaongea siku nyingi tuu.
Nini Majukumu ya Mbunge kwa wapiga kura wake? - JamiiForums
Kwa hiyo Mbunge Sugu anafanya makosa kushinda jimboni akijenga vyoo na kugawa cement kila kata?
Sent using Jamii Forums mobile app
Urais wa ufipa labdaKama sikosei Lissu kachaguliwa zaidi ya mara tatu au mara nne.
Ni wazi wananchi jimboni make wanamkubali.
Labda mleta uzi huu anataka kugombea ubunge 2020 lakini Lissu atawania uraisi wa jamhuri ya Tanzania.
Amesema eye mwenyewe kuwa atawania.
1.Hivi aliepitisha sheria na mikataba mibovu ya madini ni nani vile?Mbona Acacia na mabeberu wengine anaweza kuwasemea shida zao akiwa hapo kitandani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe kazi ya Lisu ni kutetea mikataba mibovu kwa kuwa hakuipitisha yeye basi lzm aitetee?1.Hivi aliepitisha sheria na mikataba mibovu ya madini ni nani vile?
2.Kwa hiyo aliewasemea mabeberu ni nani vile?
Kujitoa fahamu kwenu hakutawasafisha wala kuwa wauwaji hakutawasaidia.
Dhambi hiyo ni yenu tangu mlipoingia ubia na shetani. na itaendelea kuwaganda kama kivuli, mpaka hapo mtakapotubu na kumrudia Mungu.
Yohana Mbatizaji alikatwa kichwa kwa kumwambia 'mfalme mzinzi' ukweli. Sio ajabu hata leo. Amen.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kujitoa kwako fahamu hakutakusaidia kitu ndg.Kumbe kazi ya Lisu ni kutetea mikataba mibovu kwa kuwa hakuipitisha yeye basi lzm aitetee?
Sent using Jamii Forums mobile app
HATOSHI KWA CHOCHOTE ZAIDI YA UCHOCHEZI:
Lissu ni mtu ambae ukifatilia uwezo wake wa kuwasaidia wananchi kimaendeleo hawezi kabisa lakini kuwachochea na kuwapandikizia chuki dhidi ya serikali anaweza
Mkichanwa ukweli mnakimbilia buku 7?Wahi buku saba kwa pole pole