Ewe Lissu, wana Ikungi hatujakutuma hayo

Hili jimbo walichemka sana kwa huyo jamaa, kwa kifupi huyo jamaa ni mwanaharakati na hafai kuwa kiongozi kama mbunge, pia mfano mzuri ni shangazi yule hana hata chembe ya uongozi zaidi ya kupiga mdomo tu na kukosoa hata kwenye jambo zuri kupitia hao watu tuna wasomi wa hovyo sana na ambao hawana mchango wowote katika kuleta maendeleo ya nchi hii na waachwe hivyo hivyo wasiingizwe kwenye sehemu ya uongozi maana wataturudisha tulikotoka badala ya kwenda mbele kwenye uchumi wa juu.
 
Kabisa mkuu
 
Hiyo
Hiyo ni aibu kwa serikali ya kibaguzi ya ccm.
Shuhudia kinachoendelea baina ya HPP na awamu ya 6.

Lisu amekaa miaka 10 Ikungi lakini hamna legacy yoyote aliyoacha
 
Je vipi ukimlinganisha na anayetosha uchawa tuu🤪
 
Hivi mpaka Leo Bado ni mbunge
 
Sawa ni Mwenyekiti wa Chadema ngoja tuone atafanya lipi jipya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…