Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,239
- 11,731
AnaupataEti leo anataka urais
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AnaupataEti leo anataka urais
Kabisa mkuuHili jimbo walichemka sana kwa huyo jamaa, kwa kifupi huyo jamaa ni mwanaharakati na hafai kuwa kiongozi kama mbunge, pia mfano mzuri ni shangazi yule hana hata chembe ya uongozi zaidi ya kupiga mdomo tu na kukosoa hata kwenye jambo zuri kupitia hao watu tuna wasomi wa hovyo sana na ambao hawana mchango wowote katika kuleta maendeleo ya nchi hii na waachwe hivyo hivyo wasiingizwe kwenye sehemu ya uongozi maana wataturudisha tulikotoka badala ya kwenda mbele kwenye uchumi wa juu.
Kabisa mkuu
Hiyo ni aibu kwa serikali ya kibaguzi ya ccm.Hata maji hakuwapatia wana Ikungi
Hiyo
Hiyo ni aibu kwa serikali ya kibaguzi ya ccm.
Shuhudia kinachoendelea baina ya HPP na awamu ya 6.
Hakika mimba aliyokupa Lissu lazma utazaa mapacha tu ucjal
Je vipi ukimlinganisha na anayetosha uchawa tuu🤪HATOSHI KWA CHOCHOTE ZAIDI YA UCHOCHEZI:
Lissu ni mtu ambae ukifatilia uwezo wake wa kuwasaidia wananchi kimaendeleo hawezi kabisa lakini kuwachochea na kuwapandikizia chuki dhidi ya serikali anaweza asilimia mia kokote duniani.
Alipewa kura za ubunge ili awaletee wananchi maendeleo kule Singida lakini akarudi kwenye asili yake ya uchochezi na kujikuta kazi yake kubwa ni kuichokonoa serikali bila kujali ni nini alitumwa na wananchi.
Tangu awe mbunge kazi yake ni kusema mabaya tu kuhusu serikali huku akiwa hajui kero sahihi za wananchi wake Singida anayebisha aseme kawafanyia nini cha maana Singida.?? Hata siku moja huwezi kumsikia Lisu akizungumzia kero za wananchi wake.!
Kinachomuondoa kwenye ubora au kinachompoteza kwenye ubora ni kwamba "Hatoshi kuwa kiongozi" maana alikuwa bora katika harakati za haki za binadamu lakini alipopewa uongozi akapoteza ubora kwa kukosa hoja kabisa na akawa mtu wa kujadili matukio na ikumbukwe kiongozi mwenye uwezo wa kujadili sana matukio ni virahisi pia kutengeneza matukio ili apate sapoti ya wananchi kuyajadili.
Kiongozi hutumia hoja kufanya maendeleo huku mwanaharakati akiwa ni mtu wa matukio tu bila kuwa na hoja za kuwaletea wananchi maendeleo.
Mwisho Lissu hafai kuwa kiongozi ila anafaa kuwa mwanaharakati wa haki za binaadamu tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mpaka Leo Bado ni mbungeHATOSHI KWA CHOCHOTE ZAIDI YA UCHOCHEZI:

Hivi mpaka Leo Bado ni mbunge