Ewe machinga, Ewe mmiliki wa duka uliye wakabidhi machinga bidhaa, usingoje siku 30 ziishe Ondoka haraka.

Mr Q

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
18,046
Reaction score
38,598
Kilicho tokea kwa wenzenu kinakuja kwenu hakuna atakaye jali

•umekopa shilingi ngapi
•una bidhaa nzuri kiasi gani
•bidhaa ulizo nazo mmiliki wake ni nani
•umedumu hapo kwa muda gani
•wala una unyonge kiasi gani
•unalipa ushuru/kodi/kitambulisho cha mjasiria mali
•wala mbunge Msukuma atakutetea kwa namna gani

ILIMRADI HAUPO ENEO SAHIHI BASI UTAONDOLEWA. KILICHO TOKEA NI UJUMBE KWENU KIMEFANYIKA KUPIMA UPEPO NA KUPATA MREJESHO
 
Wapange pia maeneo ya kuwapeleka kabla hawajawaondoa kwenye hayo maeneo yasiyostahili,

Na tena wawape mda wa kuondoka kwenye hayo maeneo ili kama ana bidhaa zake za kuondoa azitoe siyo kuvamia tu na kuharibu mali za watu!!
 
Unatoa na mapendekezo wapelekwe eneo gani. Maana hata wewe ukiwa sehemu ya jamii una haki ya kutoa mawazo yako na kuwashauri viongozi.

Huyu mleta mada kapendekeza waondoshwe maana hawapo eneo Sahihi. Na wewe pia umekiri hawapo eneo Sahihi inatakiwa wapelekwe eneo sahihi. Sasa ungesaidia tu Kwa kusema hilo eneo sahihi litakalo wafaa ni wapi ili wapelekwe huko.

Sent from my BLA-L29 using JamiiForums mobile app
 
Ukiangalia mahojiano ya baadhi ya waliobomolewa wanasema wanabidhaa hadi za milioni 15. Mtu huyu unamwita mnyonge
Ni controversial Sana but most of them wanachukua Kwa wafanyabiashara wakubwa in daily return
 
Wapange pia maeneo ya kuwapeleka kabla hawajawaondoa kwenye hayo maeneo yasiyostahili,

Na tena wawape mda wa kuondoka kwenye hayo maeneo ili kama ana bidhaa zake za kuondoa azitoe siyo kuvamia tu na kuharibu mali za watu!!
Maeneo yako wapi mkuu Mtu Yuko POSTA Umpeleke Mpiji Magohe atakubali vipi
 
Mbona mnawadekeza sana hawa watu? Sijaona kundi lolote linalodekezwa kama machinga hapa TZ! Wana kitu gani hasa cha ziada?
 
Hili zoezi lingafanyika Tanzania nzima,wapo wengine wanafanya biashara usiku,kama za kuuza mishikaki,supu ya pweza,machungwa,nk.Huwa wanachafuwa mazingira.
 
Wapange pia maeneo ya kuwapeleka kabla hawajawaondoa kwenye hayo maeneo yasiyostahili,

Na tena wawape mda wa kuondoka kwenye hayo maeneo ili kama ana bidhaa zake za kuondoa azitoe siyo kuvamia tu na kuharibu mali za watu!!
Maeneo sahihi ni yapi ?
Ni nani aliwapangia hapa walipo?
Kwanini wangoje wapangiwe na wasiende wajipangie pasipokatazwa...

Ukiongelea usahihi wa kufanya biashara mjini kuna taratibu (tena na hizi tozo na kodi shughuli ni ngumu kweli kweli) kwahio kama hii shughuli ya kuchuuza imekuwa ngumu its about time tufikirie kama taifa njia mbadala
 
Hili zoezi lingafanyika Tanzania nzima,wapo wengine wanafanya biashara usiku,kama za kuuza mishikaki,supu ya pweza,machungwa,nk.Huwa wanachafuwa mazingira.
Wa usiku sina shida nao wanaweza wakawawekea ushuru wa kusafisha hapo walipo (so long as hakuna msongamano na inajulikana wanajisaidia wapi) sio mbaya wakiongeza mzunguko wa pesa na wao kujipatia kipato so long as sio kero kwa yoyote yule
 
Umeelezea vizuri,ila sehemu nyingi hakuna pakujisaidia wao na wateja wao.
 
Ni nani anatafutiwa eneo la kulima? Ni nani ametafutiwa eneo la kuchunga ng'ombe? ni nani amewatafutia wavuvi sehemunza kuvua? Ni nani aliyewatafutia wafanyabiashara wengine frame za kuweka biashara zao ki halali?

Wanatakiwa waondoke na wajitafutie riziki ki halali kama watu wengine.
 
Umeelezea vizuri,ila sehemu nyingi hakuna pakujisaidia wao na wateja wao.
Basi wateja wawe ni wa take away na hao wafanyie kazi sehemu ambayo sio mbali na public toilet (tena iwe usiku wa manane wakati wengine hawapo ili wakiamka hizi kero ziwe hazipo)

All in all hii haiwezi ikawa solution ya muda mrefu, zaidi ya 50% ya wananchi haiwezekani hii ndio iwe ajira rasmi
 
Maeneo yako wapi mkuu Mtu Yuko POSTA Umpeleke Mpiji Magohe atakubali vipi
Kama anataka kufanya biashara yake posta hajakatazwa anachotakiwa ni kufanya hiyo biashara yake eneo sahihi isiwe barabarani,njia za waenda kwa miguu,juu ya mifereji ya maji taka wala kukaa kwenye mlango wa kuingilia biashara ya mwenzake,ni hayo tu.
 
Wapange pia maeneo ya kuwapeleka kabla hawajawaondoa kwenye hayo maeneo yasiyostahili,

Na tena wawape mda wa kuondoka kwenye hayo maeneo ili kama ana bidhaa zake za kuondoa azitoe siyo kuvamia tu na kuharibu mali za watu!!

Kama mwanzo waliwapanga hapo na ni haki kupelekwa sehemu nzuri zaidi
 
Kilicho tokea kwa wenzenu kinakuja kwenu hakuna atakaye jali

•umekopa shilingi ngapi
•una bidhaa nzuri kiasi gani
•bidhaa ulizo nazo mmiliki wake ni nani
•umedumu hapo kwa muda gani
•wala una unyonge kiasi gani
•unalipa ushuru/kodi/kitambulisho cha mjasiria mali
•wala mbunge Msukuma atakutetea kwa namna gani

ILIMRADI HAUPO ENEO SAHIHI BASI UTAONDOLEWA. KILICHO TOKEA NI UJUMBE KWENU KIMEFANYIKA KUPIMA UPEPO NA KUPATA MREJESHO
Naona mashetani mmepewa ujasiri, kiburi na nguvu ya kunyanyasa raia; madhara mliyowapa yanatosha jibu watawapeni na utajitokeza hadharani kuomba pooh.

Unaamka usiku kwenda kuharibu mali ya machinga huku ukilindwa na dola? Kweli mmeanza kuwadhalilisha na kuwatesa teana wamachinga na raia?

Haya walichonacho moyoni kitaugulia kwenye mifupa yenu....shauri yenu mnajiona sasa mna mamlaka ya kumfanya chochote raia kwa kulinda wenye mali na madaraka....Enough is enough.......The country belongs to the citizens and not to the rich, powers, and any other high class in the society
 
Back
Top Bottom