Ewe machinga, Ewe mmiliki wa duka uliye wakabidhi machinga bidhaa, usingoje siku 30 ziishe Ondoka haraka.

Ewe machinga, Ewe mmiliki wa duka uliye wakabidhi machinga bidhaa, usingoje siku 30 ziishe Ondoka haraka.

Hili zoezi lingafanyika Tanzania nzima,wapo wengine wanafanya biashara usiku,kama za kuuza mishikaki,supu ya pweza,machungwa,nk.Huwa wanachafuwa mazingira.
Watu mma roho mbaya kiasi hata shetani anaweza kuchukua Madesa kwenu,Hivi kweli roho zinawauma kiasi mnachukia hata watu kunywa supu ya pweza,Huo uchafu unaosema mbona wakija wadai hela ya uchafu unawakimbia hapo kwako
 
Ukiangalia mahojiano ya baadhi ya waliobomolewa wanasema wanabidhaa hadi za milioni 15. Mtu huyu unamwita mnyonge
Hata kodi halipi!? Hii ndio njia sahihi ya kufanya wenye mitaji mikubwa kuogopa kupanga barabarani watu wanalipa kodi zaidi ya milioni kwa mwaka kwa mtaji WA m10
 
Back
Top Bottom