Kuna watu wanalipwa mshahara kila mwezi kufanya kazi hii.Unatoa na mapendekezo wapelekwe eneo gani. Maana hata wewe ukiwa sehemu ya jamii una haki ya kutoa mawazo yako na kuwashauri viongozi.
Huyu mleta mada kapendekeza waondoshwe maana hawapo eneo Sahihi. Na wewe pia umekiri hawapo eneo Sahihi inatakiwa wapelekwe eneo sahihi. Sasa ungesaidia tu Kwa kusema hilo eneo sahihi litakalo wafaa ni wapi ili wapelekwe huko.
Sent from my BLA-L29 using JamiiForums mobile app