Unatoa na mapendekezo wapelekwe eneo gani. Maana hata wewe ukiwa sehemu ya jamii una haki ya kutoa mawazo yako na kuwashauri viongozi.Wapange pia maeneo ya kuwapeleka kabla hawajawaondoa kwenye hayo maeneo yasiyostahili,
Na tena wawape mda wa kuondoka kwenye hayo maeneo ili kama ana bidhaa zake za kuondoa azitoe siyo kuvamia tu na kuharibu mali za watu!!
Unyonge ni upumbavu. Toa machinga wote mijini na mabarabarani. Wanaturudisha sana nyuma.Wanyonge hawana Chao tena
Ni controversial Sana but most of them wanachukua Kwa wafanyabiashara wakubwa in daily returnUkiangalia mahojiano ya baadhi ya waliobomolewa wanasema wanabidhaa hadi za milioni 15. Mtu huyu unamwita mnyonge
Maeneo yako wapi mkuu Mtu Yuko POSTA Umpeleke Mpiji Magohe atakubali vipiWapange pia maeneo ya kuwapeleka kabla hawajawaondoa kwenye hayo maeneo yasiyostahili,
Na tena wawape mda wa kuondoka kwenye hayo maeneo ili kama ana bidhaa zake za kuondoa azitoe siyo kuvamia tu na kuharibu mali za watu!!
Mbona mnawadekeza sana hawa watu? Sijaona kundi lolote linalodekezwa kama machinga hapa TZ! Wana kitu gani hasa cha ziada?Wapange pia maeneo ya kuwapeleka kabla hawajawaondoa kwenye hayo maeneo yasiyostahili,
Na tena wawape mda wa kuondoka kwenye hayo maeneo ili kama ana bidhaa zake za kuondoa azitoe siyo kuvamia tu na kuharibu mali za watu!!
Umesema kweliUkiangalia mahojiano ya baadhi ya waliobomolewa wanasema wanabidhaa hadi za milioni 15. Mtu huyu unamwita mnyonge
Maeneo sahihi ni yapi ?Wapange pia maeneo ya kuwapeleka kabla hawajawaondoa kwenye hayo maeneo yasiyostahili,
Na tena wawape mda wa kuondoka kwenye hayo maeneo ili kama ana bidhaa zake za kuondoa azitoe siyo kuvamia tu na kuharibu mali za watu!!
Wa usiku sina shida nao wanaweza wakawawekea ushuru wa kusafisha hapo walipo (so long as hakuna msongamano na inajulikana wanajisaidia wapi) sio mbaya wakiongeza mzunguko wa pesa na wao kujipatia kipato so long as sio kero kwa yoyote yuleHili zoezi lingafanyika Tanzania nzima,wapo wengine wanafanya biashara usiku,kama za kuuza mishikaki,supu ya pweza,machungwa,nk.Huwa wanachafuwa mazingira.
Umeelezea vizuri,ila sehemu nyingi hakuna pakujisaidia wao na wateja wao.Wa usiku sina shida nao wanaweza wakawawekea ushuru wa kusafisha hapo walipo (so long as hakuna msongamano na inajulikana wanajisaidia wapi) sio mbaya wakiongeza mzunguko wa pesa na wao kujipatia kipato so long as sio kero kwa yoyote yule
Basi wateja wawe ni wa take away na hao wafanyie kazi sehemu ambayo sio mbali na public toilet (tena iwe usiku wa manane wakati wengine hawapo ili wakiamka hizi kero ziwe hazipo)Umeelezea vizuri,ila sehemu nyingi hakuna pakujisaidia wao na wateja wao.
Kama anataka kufanya biashara yake posta hajakatazwa anachotakiwa ni kufanya hiyo biashara yake eneo sahihi isiwe barabarani,njia za waenda kwa miguu,juu ya mifereji ya maji taka wala kukaa kwenye mlango wa kuingilia biashara ya mwenzake,ni hayo tu.Maeneo yako wapi mkuu Mtu Yuko POSTA Umpeleke Mpiji Magohe atakubali vipi
Wapange pia maeneo ya kuwapeleka kabla hawajawaondoa kwenye hayo maeneo yasiyostahili,
Na tena wawape mda wa kuondoka kwenye hayo maeneo ili kama ana bidhaa zake za kuondoa azitoe siyo kuvamia tu na kuharibu mali za watu!!
Naona mashetani mmepewa ujasiri, kiburi na nguvu ya kunyanyasa raia; madhara mliyowapa yanatosha jibu watawapeni na utajitokeza hadharani kuomba pooh.Kilicho tokea kwa wenzenu kinakuja kwenu hakuna atakaye jali
•umekopa shilingi ngapi
•una bidhaa nzuri kiasi gani
•bidhaa ulizo nazo mmiliki wake ni nani
•umedumu hapo kwa muda gani
•wala una unyonge kiasi gani
•unalipa ushuru/kodi/kitambulisho cha mjasiria mali
•wala mbunge Msukuma atakutetea kwa namna gani
ILIMRADI HAUPO ENEO SAHIHI BASI UTAONDOLEWA. KILICHO TOKEA NI UJUMBE KWENU KIMEFANYIKA KUPIMA UPEPO NA KUPATA MREJESHO