Kuna watu wanalipwa mshahara kila mwezi kufanya kazi hii.Unatoa na mapendekezo wapelekwe eneo gani. Maana hata wewe ukiwa sehemu ya jamii una haki ya kutoa mawazo yako na kuwashauri viongozi.
Huyu mleta mada kapendekeza waondoshwe maana hawapo eneo Sahihi. Na wewe pia umekiri hawapo eneo Sahihi inatakiwa wapelekwe eneo sahihi. Sasa ungesaidia tu Kwa kusema hilo eneo sahihi litakalo wafaa ni wapi ili wapelekwe huko.
Sent from my BLA-L29 using JamiiForums mobile app
Hii sio namna bora ya kutatua changamoto zinazotukabili kwenye jamii. Ndio maana mambo hayaendi, tunajua kuongea ongea tu kulalamika na kurusha lawama. Tujifunze kuwaza Kwa kutoa solutions, sio kulalama.Kuna watu wanalipwa mshahara kila mwezi kufanya kazi hii.
Kwani hayo maeneo walipewa?Wapange pia maeneo ya kuwapeleka kabla hawajawaondoa kwenye hayo maeneo yasiyostahili,
Na tena wawape mda wa kuondoka kwenye hayo maeneo ili kama ana bidhaa zake za kuondoa azitoe siyo kuvamia tu na kuharibu mali za watu!!
Alafu analipia kitambulisho cha buku 20 kwa mwaka.Ukiangalia mahojiano ya baadhi ya waliobomolewa wanasema wanabidhaa hadi za milioni 15. Mtu huyu unamwita mnyonge
Shetani ni yule alikuwa anadanganya umma kwa kugawa fedha barabarani huku akitengeneza wanyonge wengi na kujifanya kuwatetea. Nadhani unamjua.Naona mashetani mmepewa ujasiri, kiburi na nguvu ya kunyanyasa raia; madhara mliyowapa yanatosha jibu watawapeni na utajitokeza hadharani kuomba pooh.
Unaamka usiku kwenda kuharibu mali ya machinga huku ukilindwa na dola? Kweli mmeanza kuwadhalilisha na kuwatesa teana wamachinga na raia?
Haya walichonacho moyoni kitaugulia kwenye mifupa yenu....shauri yenu mnajiona sasa mna mamlaka ya kumfanya chochote raia kwa kulinda wenye mali na madaraka....Enough is enough.......The country belongs to the citizens and not to the rich, powers, and any other high class in the society
Mtu anataka kufanya biashara eneo lenye biashara lakini hataki kulipia gharama za eneo husika anataka kujibanza kwenye mitaro ya maji taka na kuziba mlango wa mwenzake anayelipia gharama za eneo husika halafu anatarajia aachiwe tu kwa kisingizio cha unyonge!toa mzigo wako upesi leo usiku tunavunja vibanda 200.
Mimi nilishawahi fika Oxford Uingereza,pale niliona machinga wanauza vitu vidogo vidogo kama masweta,kalamu,nail cut etc,wana vibanda vizuri sana ambavyo nadhani ni movable,na hapo oxford kuna maduka makubwa,nadhani ni swala la kuweka utaratibu mzuriWapange pia maeneo ya kuwapeleka kabla hawajawaondoa kwenye hayo maeneo yasiyostahili,
Na tena wawape mda wa kuondoka kwenye hayo maeneo ili kama ana bidhaa zake za kuondoa azitoe siyo kuvamia tu na kuharibu mali za watu!!
Wanyonge 0 serikali 3Wanyonge hawana Chao tena
Kitu za Ziada ni Kura na ushawishi kwa jamii.Mbona mnawadekeza sana hawa watu? Sijaona kundi lolote linalodekezwa kama machinga hapa TZ! Wana kitu gani hasa cha ziada?
Mlitakiwa watu kama wewe muongozeke sana humu. Wapayukaji payukaji ndio wanao zidi kuongezeka kwa bahati mbaya.Hii sio namna bora ya kutatua changamoto zinazotukabili kwenye jamii. Ndio maana mambo hayaendi, tunajua kuongea ongea tu kulalamika na kurusha lawama. Tujifunze kuwaza Kwa kutoa solutions, sio kulalama.
Sent from my BLA-L29 using JamiiForums mobile app
wapange maeneo ya kuwapeleka kwani waliletwa na nani?Wapange pia maeneo ya kuwapeleka kabla hawajawaondoa kwenye hayo maeneo yasiyostahili,
Na tena wawape mda wa kuondoka kwenye hayo maeneo ili kama ana bidhaa zake za kuondoa azitoe siyo kuvamia tu na kuharibu mali za watu!!
Hivi huyo amos makala ametumwa nan??Kilicho tokea kwa wenzenu kinakuja kwenu hakuna atakaye jali
•umekopa shilingi ngapi
•una bidhaa nzuri kiasi gani
•bidhaa ulizo nazo mmiliki wake ni nani
•umedumu hapo kwa muda gani
•wala una unyonge kiasi gani
•unalipa ushuru/kodi/kitambulisho cha mjasiria mali
•wala mbunge Msukuma atakutetea kwa namna gani
ILIMRADI HAUPO ENEO SAHIHI BASI UTAONDOLEWA. KILICHO TOKEA NI UJUMBE KWENU KIMEFANYIKA KUPIMA UPEPO NA KUPATA MREJESHO
Hivi huyo amos makala ametumwa nan??
Hivi anachofanaya anakijua ana enda enda tu wanainch masikini dar es salaam wanamchukia sana ametumwa kufanyanyasa watu au nini hasa
View attachment 1952297
View attachment 1952298
Makala alishinda kura za maoni kule Mvomero lakini Jiwe kwa chuki zake alimchukua mshindi wa tatu ndio kampa agombee.Huyu makalla alienda kugombea akakosa kila kitu sasa amerudi na rungu anatesa watu hivi anajitambua kwel huyu makala anaimaliza ccm
Ngoja tuone naona upinzani wenye nguvu huyu sio mtanzania
Kuna mtu aliwaitaWapange pia maeneo ya kuwapeleka kabla hawajawaondoa kwenye hayo maeneo yasiyostahili,
Na tena wawape mda wa kuondoka kwenye hayo maeneo ili kama ana bidhaa zake za kuondoa azitoe siyo kuvamia tu na kuharibu mali za watu!!
Ndo maana amekuja na ujinga wake kutesa wanainchiMakala alishinda kura za maoni kule Mvomero lakini Jiwe kwa chuki zake alimchukua mshindi wa tatu ndio kampa agombee.
Ulitaka wakaa wapi wew poyoyoDefinition ya Machinga ni nini. Kwangu Mimi ni mobile hawkers. Mtu akishakuwa na sehemu fixed (pamoja na juu ya mitaro) huyu mtu yupo liable kulipa kodi na kuwa na leseni. Machinga anaweka mlinzi??? Anaemploy??Tatizo ni watendaji na madiwani . Wamechukua hatua gani wakati hao so Machinga walipo invade areas zao. Tatizo haliko kwa DC au RC. They were supposed to take initial action na kama wakishindwa wa escalate juu
Jiwe hakuwa mtu wala hakuwa na utu wowote na hakuna mbunge yeyote wa CCM aliyeshinda jimbo lolote la Dar bali jiwe aliamua kutangaza mshindi kupitia NEC kadri alivyotaka yeye na sio Dar tu bali nchi nzima ebu shangaa kule Pemba CCM wote wanajua hawana chao lakini kupitia huyo shetani wamepora majimbo kibao wamewaachia ACT majimbo manne tu wapate cha kuongopea.Ndo maana amekuja na ujinga wake kutesa wanainchi
Anatesa wanainchi kwa hiyo hata 2025 ataacha ukuu wa mkoa ataenda kuomba tena ni mtu mbaya sana hana sifa ya kuwa kiongozi
Jiwe alikuwa mtu sana naiona Dar na majimbo mengi yakienda upinzani