Ewe Mkristo, nani alikwambia kukusanyika kila Jumapili kwa ajili ya Ibada?

Ewe Mkristo, nani alikwambia kukusanyika kila Jumapili kwa ajili ya Ibada?

Kwani sabato ni Nini?
Ni siku ya kupumzika,

Siku ya kukumbuka uumbaji wa Mungu, ni siku kuu ya Ibada. Siku kuu na ieleweke siku kuu. Siku zote Ibada iendelee, siku kuu ibaki kuwa Ile Ile.
 
K
Get back to school 🙏

Tafsiri ya siku na kalenda inayofuatwa ni BIBLIA,

Hata sasa nenda mashariki ya kati, siku ya sabato ni JUMAMOSI.
Iyo calendar inapatikana kitabu gani?
 
Ni siku ya kupumzika,

Siku ya kukumbuka uumbaji wa Mungu, ni siku kuu ya Ibada. Siku kuu na ieleweke siku kuu. Siku zote Ibada iendelee, siku kuu ibaki kuwa Ile Ile.
Kwaiyo ni siku ya kwanza au ya Saba?
 
Ivi wewe unaakili kweli wewe siku unaiita jumapili harafu unasema ni siku ya kwanza
Ndio maana nakuambia Rudi shule haraka kabla hujachelewa.

Nakuombea tafadhali,

Get back to school, au nenda kamuulize Pope na Rome kwann Siku ya kwanza ya Juma, Jumapili ,siku ya KAZI, wao wakaigeuza ndio iwe ya Saba ya mapumziko na Ibada, Badala ya JUMAMOSI.

Ndio maana, tumekuja kuwaambia Kweli ya Mungu.

Karibu 🙏
 
Ni siku ya kupumzika,

Siku ya kukumbuka uumbaji wa Mungu, ni siku kuu ya Ibada. Siku kuu na ieleweke siku kuu. Siku zote Ibada iendelee, siku kuu ibaki kuwa Ile Ile.
kuna kitu inaelekea hujajua. Kweli siku ya Saba Mungu alipumzika je wapi alituambia tupumzike kama yeye na kuitakasa siku ya saba.

Ibrahim, Nuhu, Yakobo, Yussufu, Isaka n.k walishika sabato ?
Kutakasa sabato kulianza baada ya Musa kushuka ja zile mbao, kabla ya hapo miaka kibao ilipita hakuna mambo ya sabato.
Ila kutahiriwa siku ya saba baada ya kuzaliwa ilikuwa lazima. Na sabato n8 kwa waisrael tu, Musa aliposhuka na zile amri 10 aliwapa waisrael tu, makabila mengine kibao yalikuwepo hamna mahali musa anaenda kuwaambia makabila mengine kuhusu amri 10.
Ina maana sasa hivi kama unashika sabato hakyna shida ila unapoanza kuwahubiria wengine ndio unapojichanganya kwani hata Mungu Mwenyewe aliwaadhibu wa israel tu wadioshika sabato hao makabila mengine hakuwalazimisha,
Siku zote sawa hakuna cha sabato.
 
Back
Top Bottom