- Thread starter
- #161
Hayo ni maelezo Yako Si ya Mungu.Calendar zimekuja miaka ya karibuni tu wakati wa Kitabu cha Mwanzo hakukuweko hizi kalenda za Leo
Na Hata Mungu alipompa Musa amri.kumi akiagiza tu kuwa fanya kazi siku sita ya saba sabato hakutaja siku sababu hizi calendar za leo hazikuwepo
Wayahudi wakaanza mzunguko wai wa kikazi waanze lini na sabato ilwe lini
Jumuiya ya Mahali ndio mwamuzi mfano masaa duniani tunafautiana wengine wakianza sabato wengine wanakuwa mashambani na makazini wengine wanapomaliza sabato na kuendelea na kazi zao wengine wanakuwa kwenye sabato kutokana na tofauti za masaa kama ulisoma geography utaelewa
Ndio maana cha msingi fanya kazi siku sita ya saba pumzika uwepo eneo lolote la dunia lenye tofauti zozote za masaa zingatia hilo tu
Ndio maana Mungu hakusema hiyo siku ni Jumamosi au Jumapili alielewa kuna tofauti za masaa nk
Usikariri Jumamosi elewa siku ya saba .Siku ya Saba ndio inaitwa Sabato .Usije jiumiza nafsi na roho popote ulipo angakia ratiba tu ya kazi ya hapo ukikuta mfano nchi hupumzika alhamisi huna haja ya kutangaza vita za kijinga kuwa sabato lazima iwe jumamosi uwe na amani fanya kazi siku sita Alhamisi Sabato waambie na wasabato wenzio kuwa hapa siku ya sabato itakuwa Alhamisi
Mungu aliongea straight lugha rahisi ya kueleweka vizuri tu kuwa fanya kazi sita ya saba sabato Short and clear
Pitia link ya video nimeweka hapo juu, IPO UNYAKUO TV, Mungu alimtokea huyo kijana walipokuwa kwenye mkesha wa Maombi na kumuuliza Swali Hilo nililoliteta katika Uzi huu.
Video inaenda Kwa Jina,
OLE...MNAOTETEA JOKA KUABUDU JUMAPILI- UNYAKUO TV.