Ewe Mume, msaidizi wako anakutafuta

Ewe Mume, msaidizi wako anakutafuta

Status
Not open for further replies.
Aliyekutoa bikra hakuwa na kazi, iweje utake mwenye kazi ndyo aje myajenge?
 
Hapo kwenye dgree ndio ulipo kosea

Unafikiri kwanini hukupata Huko chuo

Ukumbuke kuwa na elimu kubwa si kigezo cha kuwa na uwezo wa kulea na kutunza familia

Unapswa kujua kuna tofauti kati ya elimu na maisha ya ndoa

Kila la kheri katika hitaji lako
 
Mnakosea sana kuchanganya elimu na mapenzi ndugu yangu.... kuna watu hatuna hizo degree ila tuna maisha mazuri kuliko hata hao wenye degree na pHd mnaowataka na tuna uwezo wa kutafuta zaidi so take care na hao wenye elimu.... en usitangulize hivi vitu viwili ktk mapenz yaan kazi na elimu utafail ktk maisha
 
Hapo kwenye dgree ndio ulipo kosea

Unafikiri kwanini hukupata Huko chuo

Ukumbuke kuwa na elimu kubwa si kigezo cha kuwa na uwezo wa kulea na kutunza familia

Unapswa kujua kuna tofauti kati ya elimu na maisha ya ndoa

Kila la kheri katika hitaji lako

Bora useme na ww hawa ndio hujikuta wanakutana na maprofessa fulani na kuishia kuliwa tu maana hivyo vigezo hawezi kupata mtu humu zaid af nachukia sana wanaowatenga watoto wetu kwa kigezo tutarudiana na wanawake tulio nao wakat mwingine hawajui kila mtu ana msimamo wake ktk mapenz tukiacha tunaacha mazima
 
Dada yuko sahihi anahitaji mme mwenye kazi ili aweze kumjali na kumtunzia familia yake, ninyi mnataka na mwanamke naye awe na kazi nani anayepaswa kupambana na majukumu ya kifamilia kama baba?

Baadhi ya wanaume wa siku hizi sijui mmekuwaje, tambueni nafasi zenu kama wanaume kwenye familia ndo maana na wanawake nao wanataka haki sawa kwa sababu ya uwepo wa wanaume wa aina hii.
 
Habarini za muda wapendwa?
Kama Mungu alivyosema "si vyema mtu huyu akawa peke yake bali nitamfanyia msaidizi"

Natafuta mume mwenye hitaji la msaidizi (mke).

wasifu wangu:
umri: miaka 25
dini: mkristo
makazi: Arusha
elimu: Degree
kazi: sina
rangi: maji ya kunde
urefu: futi 5.5
mwili: mwembamba
mtoto: sina

wasifu wa nimtakaye:
umri: 28-35
dini: mkristo
kazi: awenayo
elimu: degree na kuendelea
asiwe na mtoto

Kwa mwenye uhitaji na aliye serious karibu PM tufahamiane zaidi.
Na uzoefu miaka mingapi?
 
Kuna wanaume huweka mabandiko ya kutafuta mke, umejaribua kuyajenga na hao ???
 
naelewa ndio kuna wanaume hawana elimu na wana maisha mazuri na wana mapenzi kuliko hata hao wenye elimu, na siishi kwa kufikiri tu kuwa wenye elimu ndo wenye maisha mazuri na mapenzi, maana wapo wengi tu wana elimu na maisha yao yapo yapo tuu, maana kama ingekua hivyo mi pia ningekuwa na maisha mazuri kupitia hako ka elimu.
Ila jamani maisha ni kuchagua, mara nyingine kuwa na mtu umemzidi elimu nayo ni changamoto pia unamkuta mtu anatumianguvu nyingii kujionyesha kuwa yeye ni mwanaume kisa tu anahisi unaweza uka mdharau kisa umemzidi elimu tu, kumbe wala unamheshimu na kutambua nafasi yake kama mwanaume.

Sasa nimekuelewa vema baada ya kusoma hivi..... kwanza unapaswa kuondokana na hii dhana kichwani mwako ndugu yangu.... sio wanaume wote wapo hivyo. Bali inategemeana na uelewa wa mtu upoje. Hapa kwanza unapaswa kumtanguliza Mungu upate mwanaume kulingana na hitaji lako na si vinginevyo.... awe mwenye busara na utashi wa kupambanua mambo na mwenye kujitambua zaid
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom