Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kwenye dgree ndio ulipo kosea
Unafikiri kwanini hukupata Huko chuo
Ukumbuke kuwa na elimu kubwa si kigezo cha kuwa na uwezo wa kulea na kutunza familia
Unapswa kujua kuna tofauti kati ya elimu na maisha ya ndoa
Kila la kheri katika hitaji lako
Ungetafuta kwanza basi, wanaume wanakwepa magolikipa dada...mmmh kudanganya itanisaidia nini sasa wakati ni kweli sina.
Na uzoefu miaka mingapi?Habarini za muda wapendwa?
Kama Mungu alivyosema "si vyema mtu huyu akawa peke yake bali nitamfanyia msaidizi"
Natafuta mume mwenye hitaji la msaidizi (mke).
wasifu wangu:
umri: miaka 25
dini: mkristo
makazi: Arusha
elimu: Degree
kazi: sina
rangi: maji ya kunde
urefu: futi 5.5
mwili: mwembamba
mtoto: sina
wasifu wa nimtakaye:
umri: 28-35
dini: mkristo
kazi: awenayo
elimu: degree na kuendelea
asiwe na mtoto
Kwa mwenye uhitaji na aliye serious karibu PM tufahamiane zaidi.
naelewa ndio kuna wanaume hawana elimu na wana maisha mazuri na wana mapenzi kuliko hata hao wenye elimu, na siishi kwa kufikiri tu kuwa wenye elimu ndo wenye maisha mazuri na mapenzi, maana wapo wengi tu wana elimu na maisha yao yapo yapo tuu, maana kama ingekua hivyo mi pia ningekuwa na maisha mazuri kupitia hako ka elimu.
Ila jamani maisha ni kuchagua, mara nyingine kuwa na mtu umemzidi elimu nayo ni changamoto pia unamkuta mtu anatumianguvu nyingii kujionyesha kuwa yeye ni mwanaume kisa tu anahisi unaweza uka mdharau kisa umemzidi elimu tu, kumbe wala unamheshimu na kutambua nafasi yake kama mwanaume.
n kweli /QUOTE]
Unajuaje sio bikra?Ww mbona hujaolewa na aliyekutoa bikra?
Unajuaje sio bikra?
Ila anafanyaje?Bikira haweki tangazo
Ila anafanyaje?
mmmh kudanganya itanisaidia nini sasa wakati ni kweli sina.
Hapo makonki wamejaa PM
Ila anafanyaje?