GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #41
Watoto wazuri walikua ADA...Cossy makale Na wenzie...mpira ADA Ettoo wa vitoto....nimekumbuka mbali hasa vituko vya babu bishagazi
Ila Kabla Ya Kuendelea Kwanza NICHUKUE MUDA HUU KUTAMBUA JUHUDI Za WAHADHIRI Na WAKUFUNZI WETU Wote Wa SAUT Bila Kusahau SUPPORTING STAFF Wote Wa SAUT Kwa JUHUDI Zenu Za Hali Na Mali Katika KUTUPA ELIMU BORA, NZURI Na ILIYOTUKUKA Ambayo Leo INATUSAIDIA Na KUTUFANYA TUWE WATU TEGEMEO Katika MAENDELEO MAZIMA Ya Nchi Yetu Na Taifa Letu. Salamu Zangu Ziwafikieni WAHADHIRI Na WAKUFUNZI WOTE WA SAUT POPOTE MLIPO. NAWAPENDA Na TUNAWAPENDA Mno Na KULIKOTUKUKA Na Tunawaomba Endeleeni KUWAPA MADINI MAZURI Na Ya MAANA WADOGO ZETU WANAOENDELEA Kusoma Hapo SAUT Sasa.
Salamu Zangu Za Dhati Ziwafikie Wahadhiri Wangu Hawa Wafuatao Na Kama Sitokutaja Naomba UNISAMEHE Kwani Yawezekana Nikawa Nimekusahau Tu Ukizingatia Ni Miaka Mingi Kidogo Toka Nitoke Hapo Mwanza:
- Deitrick Kaijanangoma ( Sasa Kahamia SJMC........UDSM )
- Peter Mataba
- Robert Mkosamali
- Robert Ikachoi
- Barrack Otieno
- Xavier Ng'atigwa
- Charles Kitima
- Nkwabi Ng'wanakilala ( RIP )
- Bernard Mfumbusa
- Aidan Msafiri
- Luzinga
- Massanja
- Father White
Wengineo Mtawaongezea Na Hata Wa Fani Zingine Kwani Mimi Hao Watajwa Wengi Wao Hapo Ni Wa Kozi Yetu Ya Mass Communication Japo Luzangi Ni Wa UCHUMI Huku Massanja Akiwa Ni Wa SHERIA.