Ewe Mwana SAUT Wa 2006 Hadi 2009 Tafadhali JITOKEZE Tukutane hapa (Mega thread)

Watoto wazuri walikua ADA...Cossy makale Na wenzie...mpira ADA Ettoo wa vitoto....nimekumbuka mbali hasa vituko vya babu bishagazi

Ila Kabla Ya Kuendelea Kwanza NICHUKUE MUDA HUU KUTAMBUA JUHUDI Za WAHADHIRI Na WAKUFUNZI WETU Wote Wa SAUT Bila Kusahau SUPPORTING STAFF Wote Wa SAUT Kwa JUHUDI Zenu Za Hali Na Mali Katika KUTUPA ELIMU BORA, NZURI Na ILIYOTUKUKA Ambayo Leo INATUSAIDIA Na KUTUFANYA TUWE WATU TEGEMEO Katika MAENDELEO MAZIMA Ya Nchi Yetu Na Taifa Letu. Salamu Zangu Ziwafikieni WAHADHIRI Na WAKUFUNZI WOTE WA SAUT POPOTE MLIPO. NAWAPENDA Na TUNAWAPENDA Mno Na KULIKOTUKUKA Na Tunawaomba Endeleeni KUWAPA MADINI MAZURI Na Ya MAANA WADOGO ZETU WANAOENDELEA Kusoma Hapo SAUT Sasa.

Salamu Zangu Za Dhati Ziwafikie Wahadhiri Wangu Hawa Wafuatao Na Kama Sitokutaja Naomba UNISAMEHE Kwani Yawezekana Nikawa Nimekusahau Tu Ukizingatia Ni Miaka Mingi Kidogo Toka Nitoke Hapo Mwanza:

  • Deitrick Kaijanangoma ( Sasa Kahamia SJMC........UDSM )
  • Peter Mataba
  • Robert Mkosamali
  • Robert Ikachoi
  • Barrack Otieno
  • Xavier Ng'atigwa
  • Charles Kitima
  • Nkwabi Ng'wanakilala ( RIP )
  • Bernard Mfumbusa
  • Aidan Msafiri
  • Luzinga
  • Massanja
  • Father White

Wengineo Mtawaongezea Na Hata Wa Fani Zingine Kwani Mimi Hao Watajwa Wengi Wao Hapo Ni Wa Kozi Yetu Ya Mass Communication Japo Luzangi Ni Wa UCHUMI Huku Massanja Akiwa Ni Wa SHERIA.
 
Ha Ha Ha Ha Ha Mkuu........ Uliposema Tu Etoo Nimekumbuka Jinsi Alivyotaka Kunywa SUMU Kwa Ajili Ya Yule Demu ( Jina Kapuni ) Na Kama Hiyo Haitoshi Kuna Siku Moja Nakumbuka Etoo Alikuwa Anamtongoza Demu Mmoja Hivi Kila Akitongoza Demu Anachomoa Jamaa Alivyo Creative Akaona Isiwe Taabu Akawa ANATONGOZA Huku ANALIA Na Machozi Yanamtoka Demu Mwenyewe KACHOJOA Ikawa Imo! Shikamoo Etoo Kwani Hata Mimi Style Yako Hii Huwa Naitumia Sana KUTONGOZEA Na INANISADIA Kwa Kiasi Kikubwa Japo Muda Mwingine MACHOZI Yanakuwa Hayapo au Hayaji Hivyo INANIBIDI Tu Nijirushie Maji Machoni Ili Kupata STIMU Ya Kulia.

Nakumbuka nmefika tu 1styear nkakutana na habari za etoo.
 
Kilaza mama ako.

Mkuu Nakuomba TUMSAMEHE Tu Yeye Na Hao Wengine ILA Akitaka Kujua UKILAZA Wetu Mwambie Tu Afanye KAUTAFITI Kadogo Tu Katika Mashirika, Makampuni Na Taasisi Za SERIKALINI Kisha Aulizie Performance Za Products Za SAUT Kisha Atapata Majibu YALIYOTUKUKA. Kwa Takwimu Na Taarifa Za UHAKIKA Nilizonazo Kwa Sasa Ni Kwamba Vyuo Vinavyoongoza Kwa Kutoa Products Nzuri Na ZILIZOTUKUKA Ni Vitatu Tu Navyo Ni:

  • SAUT
  • MZUMBE
  • TUMAINI

Ukongwe Wa CHUO Chako Wa Miaka 60 Sijui 70 Haujalishi Kwani Hata Klabu Za Simba Na Yanga Ni Kongwe Hapa Nchini Lakini Ni Bure Na Hazina Tija ILA Azam FC, Mbeya City Na Kagera Sugar Sasa Zipo VIZURI KIMICHEZO Na KIMKAKATI.
 
Nakumbuka nmefika tu 1styear nkakutana na habari za etoo.

Habari Zangu PAPAA Hukukutana Nazo? Ndiyo Nilikuwa Mtu Pekee Ambaye Nilikuwa Napanda DALADALA Kwenda Town Na Kurudi Chuoni Bure Kwani Madereva Na Makondakta Wote Wa Nsumba - Malimbe Walikuwa Ni Wadau Wangu Kutokana Kupenda Kusikiliza Stori Zangu Za UWONGO Na KWELI UKIJUMLISHA Na UTANI a.k.a Ukomedi Wangu Na Kuwa Ni Mtu Wa KUJICHANGANYA Mitaa Yote Hiyo. Ilifika Muda HADI Wanafunzi Wengine Walikuwa Wakitaka Kwenda Town Wananitafuta Ili Niwaombee Kwa Madereva Na Makondakta Kwani Kuna Miezi Pale SAUT Wanafunzi Tulikuwa Tunaishiwa Hadi Tunashindia Tu Kunywa Maji Na Kuiba Mihogo Mashambani Na Kuitafuna. Acheni Tu Nicheke ILA Life Style Ya SAUT Sitakuja Kuisahau.
 
Hahahahahaha, sikuzikuta, mi sio papaa ni she.Nmekumbuka sifa za fr.msafiri.Ulisoma na kina nsia swai.
 
Hilo Neno PAPAA Sijamaanisha Wewe Mkuu Bali Ndiyo Ilikuwa a.k.a Yangu SAUT Nzima Na Hasa Hasa Pale Darfur Hostel. Baraka Aliyepo Stanbic Na Pierre Ambaye Sasa Yupo JWTZ Wanalijua Sana Hilo Jina Kwani Wao Ndiyo WALIONIBATIZA Hilo Jina Pamoja Na Akina Erick CHEUSI Na Gerald MZUZU. Yaaah Ni Kweli Nilisoma Na Nsia Swai Darasa Moja Mkuu Na Bahati Nzuri Tena Hata Sasa Ni Majirani Huku Kitaani Japo Nabaki Kufaidi Kwa Macho Tu. Kweli Mwanamke Si Mtu Wa Kushindana Nae!
 
Ivi nsia ndo yule wa picha za uchi au siye

Hapa Mada Siyo Dada Yetu Kipenzi Nsia Swai Bali Ni SAUT Na Manjonjo Yake. Acha Kucheza Blues Wakati Nyimbo Inayopigwa Sasa Ni Sebene.
 
Hilo Neno PAPAA Sijamaanisha Wewe Mkuu Bali Ndiyo Ilikuwa a.k.a Yangu SAUT Nzima Na Hasa Hasa Pale Darfur Hostel. Baraka Aliyepo Stanbic Na Pierre Ambaye Sasa Yupo JWTZ Wanalijua Sana Hilo Jina Kwani Wao Ndiyo WALIONIBATIZA Hilo Jina Pamoja Na Akina Erick CHEUSI Na Gerald MZUZU. Yaaah Ni Kweli Nilisoma Na Nsia Swai Darasa Moja Mkuu Na Bahati Nzuri Tena Hata Sasa Ni Majirani Huku Kitaani Japo Nabaki Kufaidi Kwa Macho Tu. Kweli Mwanamke Si Mtu Wa Kushindana Nae!

Hahahaha, pole.
 
Daah mmenikumbusha mbalii saut 2008-2011 miss sana Saut m13 m12 m10 ndio yalikuwa madarasa yangu hatari fawasco, born fire, nyamalango, main campus pale, quick choice hostel za manyara, lifestyle ile imenifanya hadi sasa kuishi mazingira yoyote tz asante Dr kitima, wadau tuunde group la wanasaut kama vp bila kujali course na mwaka ili tuwe na mitazamo poa na updates za kimaisha au vp
 
Ulisoma course gani na mi nlianza huo mwaka.
 
Kwa Heshima Na Taadhima Mkuu NAOMBA HUU USHAURI WAKO ULIOUTOA NDIYO UWE WENYEWE Na TUSIUNDE TU KUNDI LA COURSE TULIZOSOMA BALI TUUNDE KUNDI LA Wana SAUT Wote POPOTE PALE DUNIANI Ili TUWEZE KUSAIDIANA Na TUDUMISHE UPENDO WETU Wa KUSHIRIKIANA KWA KILA HALI Na NAMNA. Wadau Wote Wa SAUT Mliopo Humu JF Naomba Tuunge Mkono Wazo Hili Zuri La Revola. Mimi NIPO TAYARI Muda Wowote Ule MKISEMA Tulianzishe Na NITAFURAHI Mno. Ni Kweli Mkuu Ukizoea Yale Maisha Ya MSOTO Ya SAUT Huku UKIPATA ILE ELIMU Yao Hakika Popote Duniani Wewe UNAWEZA UKAISHI Bila KUBABAIKA. Akhsanteni Sana KANISA KATOLIKI Nchini Tanzania Kwa KUANZISHA CHUO KIZURI Na NINACHOKIPENDA KULIKOTUKUKA Hapa Duniani Cha SAINT AUGUSTINE UNIVERSITY OF TANZANIA ( SAUT ).
 
Last edited by a moderator:
Ulisoma course gani na mi nlianza huo mwaka.

Kwa Hayo Madarasa Aliyoyataja Tu Lazima Atakuwa Alisomea MASS COM. Mimi Madarasa Yangu Yalikuwa Ni Mawili Tu M9 Na M10 Na Sitasahau Hiki Kituko Cha Siku Wakati Tunafanya Mtihani Wa Somo La FRENCH Ambalo Ni Gumu Balaa Na Watu Wote Tulikuwa Tupo FYONGO Kichwani Kwa Hilo Somo Hivyo Katika Hali Ya Kujifanya Sisi Ni Wajanja Kumbe Tulikuwa Ni MAPOPOMA Tukatumia Mbinu Ya Kuandika Majibu ( NYENZO ) Na Kuweka Katika Yale Mapanga Boy Ya Darasani a.k.a FENI Zile Za Darasani Ambazo Naambiwa Sasa Kuna MSAMIATI Mpya Wa FENI Na Zinajulikana Kwa Jina La EMANUEL NDEGE Ikimaanisha Jina La Yule Mwandishi Wa Habari Wa Gazeti La UHURU Ambaye Juzi LILIMKATA Pale Ofisi Za CUF Buguruni. Sasa Huku Tukiwa Tumejipanga Vilivyo Darasani Na Tukiwa Na Furaha Kuwa Leo Mtihani Wa FRENCH Utatutambua Tulipogawiwa Tu Zile Booklets Na Mtihani Na Kuruhisiwa Kuanza Kufanya Mtihani Wanafunzi Wote Kila Mara MIMACHO YETU ILIKUWA Juu Katika Zile FENI Za Mule Darasani Kuangalia Majibu Huku Tunaandika Sasa SIJUI Kitu Gani Kilimshtua Yule Invigilator Ambaye NAKUMBUKA Alikuwa Ni Dr. Aidan Msafiri Ambapo Na Yeye Kwakuwa Alijua Kuwa Tunaangalia Majibu Katika Zile FENI Alichokifanya Ni Kitu Rahisi Tu Nacho Ni KUAMUA KUZIWASHA ZILE FENI ZOTE TENA KWA SPIDI YA USAIN BOLT Na HATA PALE TULIPOLALAMIKA KUWA MWALIMU TUNASIKIA BARIDI TUZIMIE FENI YEYE ALITUJIBU KUWA KUNA MTU KATI YETU AMEJAMBA HIVYO AMEZIWASHA ILI KUIONDOA HARUFU NA ISITOSHE YEYE ANASIKIA JOTO. Kilichotokea Ni Kwamba Watu Wote Siku Hiyo TULIZUNGUSHA SANA SHINGO ZETU Na Kuambulia PATUPU Kwani Mtihani Ulikuwa Ni Wa Saa 3 Lakini Watu Saa 2 Na Dakika 45 Zote TUMEKODOLEA Tu MTIHANI Na Hakuna Aliyekuwa ANAJIBU Mtihani Kutokana Na Kwamba Invigilator KAHARIBU Kabisa Mipango Yetu Na Kilichotoke Nakumbuka Wanafunzi Wote Wa BAMC 2006 Hadi 2009 Ule MTIHANI Tulifeli, Tukaomba Po Kwa UPOPOMA Wetu Na Kufanya Mtihani Mpya Ambapo Mwalimu Alikuwa FAIR Na Watu TUKATOBOA. Sitaisahau SAUT Kwa Vituko Na Vionjo Vyake.
 
P unavituko sana.....! Nimeonana kwa bahati mbaya sana na Mswati pale dstv.....
 
Macho yangeonaje jamani feni ilivo juu.Ila umeniacha hoi.
 
Back
Top Bottom