Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
ππππNjoo gizani.. PM..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππNjoo gizani.. PM..
πππ Sema banaππ ngoja nisiseme nilichokiwaza maana ntazua tafrani hapatakalika
Hebu nione hayo mayai yanayoelekea kukaukaππππ Sema bana
Yako ndani huko kwenye kizazi πππHebu nione hayo mayai yanayoelekea kukaukaπ
Ndio nione jirani πYako ndani huko kwenye kizazi πππ
πππ MxxiewwwwNdio nione jirani π
Hapa unasonya ila moyoni unashangilia ππππ Mxxiewwww
Thubutuuuuu π€£π€£π€£Hapa unasonya ila moyoni unashangilia π
Nimeelewa ulichomaanisha safari njema jirani πThubutuuuuu π€£π€£π€£
Jirani baadae ngoja nipande mtumbwi niko safarini mwenzio uniombee
Unsatisfied searching for more flavoursUnamkata mmeo/mpenzi wako stim. Haiwezekani yani mwamba kajitahidi kusukuma mashine hadi jasho linamtoka.
Wewe punde tu unakurupukia simu na kuingia kwenye makundi ya vikoba. Unakata stim.
Walau pretend.. pitiwa hata na kausingizi kakinafiki...legeza sauti na legeza macho, hii itamfanya mpenzi wako ajihisi kidume. Hata ukiomba hela utapewa.
Acha jeuri.
π€£π€£
Huko siko mwamba...Acha kununua Malaya kijana ,, unabeba soul za kishetani
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
ππππππMajeuri typingβ¦..
Hizo Ni siasaWaebrania 13:4
Ndoa iheshimiwe na watu wote, na wenye ndoa wawe waaminifu kwa wenzi wao ; maana Mungu atawahukumu wazinzi na waasherati.