Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Nani kashindwa?Ameshindwa kuisaidia Gaza isibutuliwe na wana wa Israel...
No Reform No ElectionFutari tutakula tu mkuu lakini kura zangu zote zinakwenda Chadema
Vipi ikiandaliwa na Abuobakary Mbowe kama unavyppenda kumuita tusile!Bismillah Rahman Raheem.
Mwaka wa Uchaguzi umefika na Mwezi wa Ramadhan ushawadia, leo tuko Chungu cha pili.
Sasa kama mjuavyo kwa miaka ya sasa kila jambo ni fursa, mtaalikwa kila mahali na kwa watu hata wasio Waislam ili mradi wawavuteni ili muwachague.
Kuweni Makini na Allah Subhannah akuepusheni na futari za Michongo ili msiifakamie laana .
Usije sema hatukukuambia
Wabhillah Tawfiq
Je nayo Itakuwa ya Kampeni?Vipi ikiandaliwa na Abuobakary Mbowe kama unavyppenda kumuita tusile!
Na wanachi walivyo na njaa cjui km watakuelewaBismillah Rahman Raheem.
Mwaka wa Uchaguzi umefika na Mwezi wa Ramadhan ushawadia, leo tuko Chungu cha pili.
Sasa kama mjuavyo kwa miaka ya sasa kila jambo ni fursa, mtaalikwa kila mahali na kwa watu hata wasio Waislam ili mradi wawavuteni ili muwachague.
Kuweni Makini na Allah Subhannah akuepusheni na futari za Michongo ili msiifakamie laana .
Usije sema hatukukuambia
Wabhillah Tawfiq
Laana ni hatari zaidi kuliko njaaNa wanachi walivyo na njaa cjui km watakuelewa
Kwani kampeni zimeanza?Je nayo Itakuwa ya Kampeni?
Hangaya kaanza kampeni miaka miwili iliyopita, bado vitu vya ndani tu kuweka Picha zake, vya nje vyote tayari kawekaKwani kampeni zimeanza?