Ewe Mwananchi jihadhari na Futari za Kampeni ili kuepuka laana ya Allah

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Bismillah Rahman Raheem.

Mwaka wa Uchaguzi umefika na Mwezi wa Ramadhan ushawadia, leo tuko Chungu cha pili.

Sasa kama mjuavyo kwa miaka ya sasa kila jambo ni fursa, mtaalikwa kila mahali na kwa watu hata wasio Waislam ili mradi wawavuteni ili muwachague.

Kuweni Makini na Allah Subhannah akuepusheni na futari za Michongo ili msiifakamie laana .

Usije sema hatukukuambia

Wabhillah Tawfiq
 
Takhbiiiiiiirrrrr!!!

IMG-20180609-WA0096.jpg
 
Bismillah Rahman Raheem.

Mwaka wa Uchaguzi umefika na Mwezi wa Ramadhan ushawadia, leo tuko Chungu cha pili.

Sasa kama mjuavyo kwa miaka ya sasa kila jambo ni fursa, mtaalikwa kila mahali na kwa watu hata wasio Waislam ili mradi wawavuteni ili muwachague.

Kuweni Makini na Allah Subhannah akuepusheni na futari za Michongo ili msiifakamie laana .

Usije sema hatukukuambia

Wabhillah Tawfiq
Vipi ikiandaliwa na Abuobakary Mbowe kama unavyppenda kumuita tusile!
 
Futari tutakula, hela wakileta tutachukua na hatutawachagua hawa kenge.
🤣 🤣 🤣
 
Bismillah Rahman Raheem.

Mwaka wa Uchaguzi umefika na Mwezi wa Ramadhan ushawadia, leo tuko Chungu cha pili.

Sasa kama mjuavyo kwa miaka ya sasa kila jambo ni fursa, mtaalikwa kila mahali na kwa watu hata wasio Waislam ili mradi wawavuteni ili muwachague.

Kuweni Makini na Allah Subhannah akuepusheni na futari za Michongo ili msiifakamie laana .

Usije sema hatukukuambia

Wabhillah Tawfiq
Na wanachi walivyo na njaa cjui km watakuelewa
 
Back
Top Bottom