Ewe mwanasiasa unaefanya anasa kwa pesa za umma, Hauwaonei huruma watanzania wenzako wanaoteseka?

kalisheshe

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2020
Posts
2,477
Reaction score
5,096
Takribani watanzania milioni 40 ambao ni 64.8% ya watanzania wote huamka kila siku wakiwa hawana uhakika wa
-chakula bora,
-maji safi,
-huduma za afya,
-elimu inayoeleweka kwa watoto wao n.k

Lakini pia kuna mtanzania muda huu hajui wapi atapata pesa ya kukomboa maiti ya ndugu yake ambayo imezuiliwa hospitali mpaka alipie gharama.

Mtanzania mwingine hajui wapi atapata pesa ili aende kutibiwa tatizo kubwa ambalo limemsumbua kwa muda mrefu.

Mtanzania mwingine ameikimbia familia kwa kushindwa kumudu gharama za kuiendesha.

Mwingine anakufa kwa stroke muda huu baada ya kuzungushwa kuchukua mafao yake baada ya kustaafu.

Lakini cha kushangaza muda huu wewe kiongozi unasherehekea kwenye hoteli ya kifahari, ukipanda magari ya mamilioni, na kufanya anasa kwa pesa ambayo ingewasaidia wananchi kutatua hayo matatizo hapo juu.

Kodi zinalipwa kwa uchungu, tozo zinaongezwa kila siku, lakini matokeo hayaonekani kwa mwananchi wa kawaida.

Wengi wenu viongozi mmekuwa watawala walafi, mkitumia madaraka kama chombo cha kujinufaisha badala ya kuwatumikia waliowachagua huku mkimpa mzigo mzito kiongozi mkuu,
najiuliza tumelogwa na nani? Je kuna haja ya kuwa na wawakilishi? Au turudi zama za ujima?!.

Ni lini wewe kiongozi utaamka na kuguswa na mateso ya mama mjane anayekesha hospitali akisubiri huduma? Ni lini utaona aibu kutembea kwenye barabara mbovu huku ukipewa ulinzi wa magari ya serikali?

Tambua Kila senti ya umma unayoitumia hovyo ni machozi ya Watanzania.

Tunaomba Utu, huruma, na uwajibikaji.

Naipenda Tanzania na watanzania wote
 
pesa ziko nyingi usifocus na pesa za mtu mwingine, create your own journey
 
Wizi wa mali ya umma au utumiaji mbaya wa mali na fedha za umma ni dhambi. Tena mbaya sana. Tukitaka kuwa salama, lazima tuache dhambi hiyo.
Nchi nyingi zimebomoka sababu ya kukosa uadilifu na kuwa na watu wanaotumia vibaya nafasi wanazopewa, kujineemesha
 
Kumbuka kuna walemavu, wagonjwa, watoto na wajane ambao hawawezi kutafuta pesa
pesa haiwezi kutolewa bure, kila pesa inatengenezewa thamani kutokana na unachoproduce, However kuna mfuko wa TASAF kwa watu wasiojiweza hupewa pesa za kujikimu! other wise pesa ikitolewa bure italoose thaman kwan imetolewa bila kwenda na thamani ya huduma

pia wapo wenye disability na wanafanya baadhi ya vitu mfano mlemavu unaweza kufanya kazi za mikono
 
Vipi kuhusu pesa inayoelekezwa kwenye miradi na haifiki?!

N vipi kuhusu ile inayoelekezwa kwa wahusika na haiwafikii?

Na je? Kuna ugumu gani wa kutoa mafao kwa wastaafu?

Acha kutetea uozo nyufa zipo nyingi
 
Lakini cha kushangaza muda huu wewe kiongozi unasherehekea kwenye hoteli ya kifahari, ukipanda magari ya mamilioni, na kufanya anasa kwa pesa ambayo ingewasaidia wananchi kutatua hayo matatizo hapo juu.

Kodi zinalipwa kwa uchungu, tozo zinaongezwa kila siku, lakini matokeo hayaonekani kwa mwananchi wa kawaida.
Si mmetuchagua wenyewe. Usichobadilisha ndio chaguo lako, kwa hiyo kama mnajua viongozi hatuwaonei huruma na hamtubadilishi sisi ndio chaguo lenu.
 
Vipi kuhusu pesa inayoelekezwa kwenye miradi na haifiki?!

N vipi kuhusu ile inayoelekezwa kwa wahusika na haiwafikii?

Na je? Kuna ugumu gani wa kutoa mafao kwa wastaafu?

Acha kutetea uozo nyufa zipo nyingi
isipofika kwenye miradi ndo tatizo ila kama kuna hela ambayo ni extra ukaipiga unasaidia iende mtaani kirahisi which is good, however izo mada za wastaafu ni agenda ingine, ni swala la kuangalia tatizo ni wap kwani ni haki yao however mm nlikua naelezea kuhusu mtu kupiga ela sio mambo ya wastaafu
 
Takribani watanzania milioni 40 ambao ni 64.8% ya watanzania wote huamka kila siku wakiwa hawana uhakika wa
-chakula bora,
-maji safi,
-huduma za afya,
-elimu inayoeleweka kwa watoto wao n.k

Lakini pia kuna mtanzania muda huu hajui wapi atapata pesa ya kukomboa maiti ya ndugu yake ambayo imezuiliwa hospitali mpaka alipie gharama.

Mtanzania mwingine hajui wapi atapata pesa ili aende kutibiwa tatizo kubwa ambalo limemsumbua kwa muda mrefu.

Mtanzania mwingine ameikimbia familia kwa kushindwa kumudu gharama za kuiendesha.

Mwingine anakufa kwa stroke muda huu baada ya kuzungushwa kuchukua mafao yake baada ya kustaafu.

Lakini cha kushangaza muda huu wewe kiongozi unasherehekea kwenye hoteli ya kifahari, ukipanda magari ya mamilioni, na kufanya anasa kwa pesa ambayo ingewasaidia wananchi kutatua hayo matatizo hapo juu.

Kodi zinalipwa kwa uchungu, tozo zinaongezwa kila siku, lakini matokeo hayaonekani kwa mwananchi wa kawaida.

Wengi wenu viongozi mmekuwa watawala walafi, mkitumia madaraka kama chombo cha kujinufaisha badala ya kuwatumikia waliowachagua huku mkimpa mzigo mzito kiongozi mkuu,
najiuliza tumelogwa na nani? Je kuna haja ya kuwa na wawakilishi? Au turudi zama za ujima?!.

Ni lini wewe kiongozi utaamka na kuguswa na mateso ya mama mjane anayekesha hospitali akisubiri huduma? Ni lini utaona aibu kutembea kwenye barabara mbovu huku ukipewa ulinzi wa magari ya serikali?

Tambua Kila senti ya umma unayoitumia hovyo ni machozi ya Watanzania.

Tunaomba Utu, huruma, na uwajibikaji.

Naipenda Tanzania na watanzania wote
OKTOBA TUNA ✔️
 
Mawazo mazuri ya kijamaa kama ya mwalimu Nyerere
 
Sisi tumeruhusiwa kula kwa urefu wa kamba zetu. Kama wewe huna kamba, usitupigie kelele.
 
Ndugu yangu usijidanganye, CCM hii haipo hapa kuiendeleza Tanzania. Hiki ni chama cha kishetani, hawataki maendeleo hata iweje na nakusihi huko ulipo, angalia vizuri mienendo yako usije kutekwa kwa kuhoji mambo muhimu kama haya.
 
Kishetani tena!!!
 
Back
Top Bottom