Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #21
ewe Smooth Criminal mje muelewe haki zenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naam.Utakua na muda Leo saa moja na nusu jioni nikupigie simu tuzungumze? Nijulishe.
@
Watu waliopata kaziSalam wakuu, andiko hili ni kwa ajili ya kuelimisha jinsi jamii inavyo paswa kuishi na ma jobless pro max.
Jamii yetu ina watu mbali mbali, wapo wenye ajira, ma jobless pro max, watu wa daraja la kati na hata wakishua. Shida inaanza baadhi ya wanajamii wanakosa utu na akili, na kupelekea kuwa ona ma jobless Kama midoli.
Haya ewe mzazi, mlezi, rafiki, zingatia haya pindi unapo kaa na jobless yoyote.
1. Usiingilie ratiba ya jobless pasipo kumtaarifu. Kama ame lala, usijifanye kumuamsha asubuhi asubuhi as if yeye ni toy lako la kuchezea.
2. Usimseme seme jobless, wakati wa chakula. Kama kuna mambo hayako sawa tafuta wakati mzuri myazungumze.
3. Usimtukane jobless kisa kukosa kazi au shughuli ya kuendesha maisha yake. Amini nakwambia kuna watu wanajifanya ni mabingwa wa kuhukumu watu, kisa tu kakosa shughuli usi muone mvivu, au mzigo, hizi kejeli zinamuathiri kisaikolojia.
4. Usimtume tume jobless kila mara, kumbuka hata punda ana mapumziko. Kukosa kwake shughuli haku kupi wewe nafasi ya kujiona mfalme. Kumbuka Kuwa utazeeka.
Sasa sijui akijipata itakuwaje.
5. Mtaarifu ikiwa hutopenda kuendelea kumpa hifadhi. Kama unaona hauna mipango ya kuendelea kukaa naye, basi mpe habari ili ajipange, haitopendeza ukimuimbia taarab hovyo.
6. Usimtolee kauli ya mfano wa kushindwa mbele ya wengine. Riziki haitoki mikononi mwako, siku Moja akichoka anaweza kukupasua huo mdomo.
Raisi wa chama Cha ma jobless pro max Intelligent businessman. Kidumu chama Cha ma jobless pro max.
Hakuna ubaguzi, umoja, upendo na amani. Sikiliza na tatua changamoto za ma jobless pro max.
View attachment 3225110
Siku zote mtu akishakua na Kazi anaanza kuwaona majobless ni wavivu, kumbe tu mipango haijakaa sawa.Salam wakuu, andiko hili ni kwa ajili ya kuelimisha jinsi jamii inavyo paswa kuishi na ma jobless pro max.
Jamii yetu ina watu mbali mbali, wapo wenye ajira, ma jobless pro max, watu wa daraja la kati na hata wakishua. Shida inaanza baadhi ya wanajamii wanakosa utu na akili, na kupelekea kuwa ona ma jobless Kama midoli.
Haya ewe mzazi, mlezi, rafiki, zingatia haya pindi unapo kaa na jobless yoyote.
1. Usiingilie ratiba ya jobless pasipo kumtaarifu. Kama ame lala, usijifanye kumuamsha asubuhi asubuhi as if yeye ni toy lako la kuchezea.
2. Usimseme seme jobless, wakati wa chakula. Kama kuna mambo hayako sawa tafuta wakati mzuri myazungumze.
3. Usimtukane jobless kisa kukosa kazi au shughuli ya kuendesha maisha yake. Amini nakwambia kuna watu wanajifanya ni mabingwa wa kuhukumu watu, kisa tu kakosa shughuli usi muone mvivu, au mzigo, hizi kejeli zinamuathiri kisaikolojia.
4. Usimtume tume jobless kila mara, kumbuka hata punda ana mapumziko. Kukosa kwake shughuli haku kupi wewe nafasi ya kujiona mfalme. Kumbuka Kuwa utazeeka.
Sasa sijui akijipata itakuwaje.
5. Mtaarifu ikiwa hutopenda kuendelea kumpa hifadhi. Kama unaona hauna mipango ya kuendelea kukaa naye, basi mpe habari ili ajipange, haitopendeza ukimuimbia taarab hovyo.
6. Usimtolee kauli ya mfano wa kushindwa mbele ya wengine. Riziki haitoki mikononi mwako, siku Moja akichoka anaweza kukupasua huo mdomo.
Raisi wa chama Cha ma jobless pro max Intelligent businessman. Kidumu chama Cha ma jobless pro max.
Hakuna ubaguzi, umoja, upendo na amani. Sikiliza na tatua changamoto za ma jobless pro max.
View attachment 3225110
naamWatu waliopata kazi
Siku zote mtu akishakua na Kazi anaanza kuwaona majobless ni wavivu, kumbe tu mipango haijakaa sawa.
We bado hujapata ajira ama nyie ndo wale mlioishia la Saba?Raisi wa chama Cha ma jobless pro max ni Intelligent businessman.
makamu wake ni Bolotoba.
katibu wa ma jobless ni min -me, mratibu wa mipango ni Edo kissy.
waziri wa mambo ya ndani ni Thecoder, na msemaji wa chama Cha ma jobless pro max ni makutupora.
Kidumu chama Cha ma jobless pro max.
Powaaanaam.
Naam karibu chamaniKUNA AINA YA MAISHA HUWEZI MKUTA JOBLESS ANA KOSA HELA YA VOCHA NA KUCHAT NA NDUGU NA MARAFIKI NA UKILIONA ILO KAA KITAALAMU KUNA KUTUSUA BILA MAFARAKANO ....TUPO PAMOJA
Kufeli shule sio kufeli maisha liweke akilini hilo Familiar.We bado hujapata ajira ama nyie ndo wale mlioishia la Saba?
Unataka kusemaje mkuu.We bado hujapata ajira ama nyie ndo wale mlioishia la Saba?
samahani mkuu kwani elimu ni kwa ajili ya ajira au kuelimika??.We bado hujapata ajira ama nyie ndo wale mlioishia la Saba?
TUPO HAPA TUONA MICHONGO YAO TUNAWAPA USHAURI WANAFANIKIWA WANATUSAHAU SASA KWENYE KIKAO KINACHOFUATA TUPO NAONaam karibu chamani
Waambie waziweke hapa nizione.Wmsamahani mkuu kwani elimu ni kwa ajili ya ajira au kuelimika??.
Halafu mbona Kama una wakejeli darasa la saba??, una uhakika waki weka bank statement zao uta wezana?
mimi sija enda shule kabisa, ila nakupa challenge wewe na hiyo degree yako.We bado hujapata ajira ama nyie ndo wale mlioishia la Saba?
Haelewi huyo kudaadeq zake unakuta mtoto wa darasa la saba amefeli then anapelekwa VETA anatoka na ujuzi wake vizuri tu na anaamua kujiajiri.Unataka kusemaje mkuu.
NB.
Kuishia la saba ? Ndio kufeli Maisha? Brain you're eyes dunia imebadilika Sana Sanaa.
mimi na utajiri wapi na wapi, hata shule sija enda mkuu.Sema username yako nilijuaga tajiri moja lenye akiliii, yuza nemu zinalaghai hizi.. na hv ulimuwekaga Musk 😂😂
Kacheki inbox yako basimimi sija enda shule kabisa, ila nakupa challenge wewe na hiyo degree yako.
Weka bank financial statement yako hapa, ukiwa hata na 3m nastaafu kuwa raisi wa chama Cha ma jobless pro max
KAKA KUNA WATU AWAPENDI KWENDA KAZINI SABABU WASHAAJIRI WATU UKO KAA KITAALAMU UTACHEKWA SAIVI AO NDO MARA NYINGI WANAJIITA MAJOBLESS NARUDIA KAA KITAALAMU MI NITAKUA NAKUCHEKA NIKIWA APA PEMBENIWaambie waziweke hapa nizione.
Mimi mwenyewe ni class 4 dropout
Mwambie huyo wapo wengi TU hawajasoma na wametusua Maisha wapo few to mention LUGUMI, MSUKUMA E.T.CKufeli shule sio kufeli maisha liweke akilini hilo Familiar.