Ewe mzazi kama unaishi na mwanao au jamaa ambaye ni Jobless, basi zingatia haya

Ewe mzazi kama unaishi na mwanao au jamaa ambaye ni Jobless, basi zingatia haya

Mwambie huyo wapo wengi TU hawajasoma na wametusua Maisha wapo few to mention LUGUMI, MSUKUMA E.T.C

Darasa la saba wapo wengi Sanaa
Na ndio wameajir wasomi wengi wengi hapa TZ
Anakalili maisha anadhani kusoma mpaka uende O- level, A-level, Chuo
Wakati Kuna watu wamepitia hizo stage zote na ufaulu mzuri lakini ajira hamna.
 
KAKA KUNA WATU AWAPENDI KWENDA KAZINI SABABU WASHAAJIRI WATU UKO KAA KITAALAMU UTACHEKWA SAIVI AO NDO MARA NYINGI WANAJIITA MAJOBLESS NARUDIA KAA KITAALAMU MI NITAKUA NAKUCHEKA NIKIWA APA PEMBENI
we Jamaa hizi taarifa sizi elewi, mimi Kama raisi wa ma jobless pro max nasema mki pata michongo nendeni mka fanye.

Majobless pro max tume choka, tupambanie present yetu.
 
Back
Top Bottom