Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rasi wa majobless pro max😂.raisi wa nini??, au cheo ulicho pata kina kufanya uanze uhuni??
naam, kidumu chama Cha ma jobless pro max.Rasi wa majobless pro max😂.
Kidumu chama Cha jobless pro max.
Mitano tena😁naam, kidumu chama Cha ma jobless pro max.
Nipo hapa Mh. Raisewe msemaji wa chama Cha ma jobless pro max makutupora uko wapi??.
Dah....! Nimecheka. Just be strong dude.Salam wakuu, andiko hili ni kwa ajili ya kuelimisha jinsi jamii inavyo paswa kuishi na ma jobless pro max.
Jamii yetu ina watu mbali mbali, wapo wenye ajira, ma jobless pro max, watu wa daraja la kati na hata wakishua. Shida inaanza baadhi ya wanajamii wanakosa utu na akili, na kupelekea kuwa ona ma jobless Kama midoli.
Haya ewe mzazi, mlezi, rafiki, zingatia haya pindi unapo kaa na jobless yoyote.
1. Usiingilie ratiba ya jobless pasipo kumtaarifu. Kama ame lala, usijifanye kumuamsha asubuhi asubuhi as if yeye ni toy lako la kuchezea.
2. Usimseme seme jobless, wakati wa chakula. Kama kuna mambo hayako sawa tafuta wakati mzuri myazungumze.
3. Usimtukane jobless kisa kukosa kazi au shughuli ya kuendesha maisha yake. Amini nakwambia kuna watu wanajifanya ni mabingwa wa kuhukumu watu, kisa tu kakosa shughuli usi muone mvivu, au mzigo, hizi kejeli zinamuathiri kisaikolojia.
4. Usimtume tume jobless kila mara, kumbuka hata punda ana mapumziko. Kukosa kwake shughuli haku kupi wewe nafasi ya kujiona mfalme. Kumbuka Kuwa utazeeka.
Sasa sijui akijipata itakuwaje.
5. Mtaarifu ikiwa hutopenda kuendelea kumpa hifadhi. Kama unaona hauna mipango ya kuendelea kukaa naye, basi mpe habari ili ajipange, haitopendeza ukimuimbia taarab hovyo.
6. Usimtolee kauli ya mfano wa kushindwa mbele ya wengine. Riziki haitoki mikononi mwako, siku Moja akichoka anaweza kukupasua huo mdomo.
Raisi wa chama Cha ma jobless pro max Intelligent businessman. Kidumu chama Cha ma jobless pro max.
Hakuna ubaguzi, umoja, upendo na amani. Sikiliza na tatua changamoto za ma jobless pro max.
View attachment 3225110
Uta pambana mwenyewe, chama hakina hela 😂😂Nipo hapa Mh. Rais
Bandooo tatizo ... Si unajua Mimi ni jobless
dah mkuu sio poa,, sema wacha tuishi.Dah....! Nimecheka. Just be strong dude.
Uko sahihi mkuu, uvivu ni ujinga mbaya.Kuna kuwa jobless na kuwa Mvivu.
Licha ya changamoto ya ujobless haitakiwi kuwa wavivu.
naam😂😂Mitano tena😁
kaka usi nitese mdogo wako😂😂Wewe ni wa kuchapa bakora.
Kwani wafadhiliii hawajatoa chochote kitu?Uta pambana mwenyewe, chama hakina hela 😂😂
Hapo kwenye kukupasua mdomo🤣nmechekaSalam wakuu, andiko hili ni kwa ajili ya kuelimisha jinsi jamii inavyo paswa kuishi na ma jobless pro max.
Jamii yetu ina watu mbali mbali, wapo wenye ajira, ma jobless pro max, watu wa daraja la kati na hata wakishua. Shida inaanza baadhi ya wanajamii wanakosa utu na akili, na kupelekea kuwa ona ma jobless Kama midoli.
Haya ewe mzazi, mlezi, rafiki, zingatia haya pindi unapo kaa na jobless yoyote.
1. Usiingilie ratiba ya jobless pasipo kumtaarifu. Kama ame lala, usijifanye kumuamsha asubuhi asubuhi as if yeye ni toy lako la kuchezea.
2. Usimseme seme jobless, wakati wa chakula. Kama kuna mambo hayako sawa tafuta wakati mzuri myazungumze.
3. Usimtukane jobless kisa kukosa kazi au shughuli ya kuendesha maisha yake. Amini nakwambia kuna watu wanajifanya ni mabingwa wa kuhukumu watu, kisa tu kakosa shughuli usi muone mvivu, au mzigo, hizi kejeli zinamuathiri kisaikolojia.
4. Usimtume tume jobless kila mara, kumbuka hata punda ana mapumziko. Kukosa kwake shughuli haku kupi wewe nafasi ya kujiona mfalme. Kumbuka Kuwa utazeeka.
Sasa sijui akijipata itakuwaje.
5. Mtaarifu ikiwa hutopenda kuendelea kumpa hifadhi. Kama unaona hauna mipango ya kuendelea kukaa naye, basi mpe habari ili ajipange, haitopendeza ukimuimbia taarab hovyo.
6. Usimtolee kauli ya mfano wa kushindwa mbele ya wengine. Riziki haitoki mikononi mwako, siku Moja akichoka anaweza kukupasua huo mdomo.
Raisi wa chama Cha ma jobless pro max Intelligent businessman. Kidumu chama Cha ma jobless pro max.
Hakuna ubaguzi, umoja, upendo na amani. Sikiliza na tatua changamoto za ma jobless pro max.
View attachment 3225110
Hiyo ni future impossible tense 😂Kwani wafadhiliii hawajatoa chochote kitu?
waki zingua wame isha🤣😂Hapo kwenye kukupasua mdomo🤣nmecheka