Ewe mzazi kama unaishi na mwanao au jamaa ambaye ni Jobless, basi zingatia haya

Mimi kama msemaji wa CHAMA hiki

Nikuhakikishie kuwa tupo mbioni kukamilisha utaratibu si tu wa kuoa bure au kupunguziwa mahari Bali kuoa bure na Baba mkwe kukupa mtaji.
Hiyo itakuwa fahari kubwa kwangu Sina cha kuwapa zaidi ya kuseme
Kidumu chama cha majobless pro max, na kuwaombea mfike mbele zaidi sio tu Tanzania bali hata Africa na dunia nzima Kuna majobless wengi huko ulaya wanahitaji huduma yenu.
 
hahaa eti usiamshwe kama umelala, au usitumwe tumwe kila wakati. Sasa unataka ukae kwa mtu ule ulale bure hata usiashwe au kutumwa? Kwa staili hii hutaweza kuishi na yeyote

jobless usiwe useless ukiwa nyumbani kwa mtu amka mapema jitume wewe mwenyewe kama ni wewe mkaka basi mwagilia hata bustani, safisha gari ya baba kabla hajatoka au saidia hata kupasi nguo

Kama wewe ni mdada basi amka mapema msaidie dada wa kazi sio wewe unalala eti housegirl ndio akuandalie na wewe chai.. unataka upewe hadhi ya baba au mama kutengewa chakula..subiri uwe na kwako hiyo haki utaipata tu

mkijifanya wajuaji ndio mtaona mnaonewa lakini mkiwa humble mbona mtaishi kwa amani tu
 
Mkuu una jua madhara ya kumsumbua ghafla, mtu aliye zama kwenye usingizi??.

Jobless ana amka mapema na kufanya shughuli hizi na zile, hakuna uvivu ukiwa jobless.
 
Mkuu una jua madhara ya kumsumbua ghafla, mtu aliye zama kwenye usingizi??.

Jobless ana amka mapema na kufanya shughuli hizi na zile, hakuna uvivu ukiwa jobless.
Jobless unalala fofofo kwa sababu unapewa chakula na kulala bure hapo ulipo. Jobless wa Ulaya wanalala nje kwenye barafu.

Endeleeni kuwatunishia wanao wasaidia halafu hicho chama chenu muende kwa mkuu wa mkoa akawape chakula na malazi baada ya kutimuliwa na wafadhili wenu
 
mkuu kwanza jua hakuna asiye saidiwa, no one makes at the top mwenyewe.

halafu kwanini nisi lale bure, akati nakaa kwangu???.

halafu jobless hali au kulala bure, hizo ni lugha potofu.
 
mkuu kwanza jua hakuna asiye saidiwa, no one makes at the top mwenyewe.

halafu kwanini nisi lale bure, akati nakaa kwangu???.

halafu jobless hali au kulala bure, hizo ni lugha potofu.
basi utakuwa sio jobless au huelewi maana ya jobless?. kama una kaa kwako nani atakuamsha asubuhi na uko kwako? wewe si umesema wanao kaa kwa wazazi au ndugu wasiwaamshe? ukikaa kwa ndugu utaamshwa tu kama hutaki kuamshwa au kutumwa basi kaa kwako usikae kwa mtu
 
mkuu Nina kiji Banda Cha mti na ma gunia hapa. Ndo naita kwangu.

halafu sija sema wasi amshwe au kutumwa, ila Kuna Ile utumaji wa kukera na usumbufu.

we uni tume saa 2 dk10, Kisha uni tume Tena saa 2 dk12 kwanini usi seme fanya hiki na kile.
 
Ukosefu wa ajira ni JANGA la kitaifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…