Ewe Raia mwema wa Tanzania usidanganyike, tii Sheria bila shuruti, zingatia wito na uamuzi wa Mahakama na Wananchi kwa hekima na busara

Hata kukamatwa kisheria kunaleta amani ila kukamatwa na kupelekwa kusikojulikana ndo penye shida kunakomfundisha mtu ujeuri. Usuwalaumu raia.
 
kwan kuna Tatizo gentleman kusema ukweli? πŸ’
Mimi sikushangai hata kidogo kwani ni wajibu kwa shetani mdogo kumtetea shetani mkubwa. Kesho ukiamka jitazame vizuri kwenye kioo...huo unaouona mbele yako ndio uovu katika sura ya binadamu!
 
Simulizi ya kubuni?? Kuwa serious ndugu kwenye masuala ya hatari Kama haya. Nikieleza kisa chote hapa naamini kwamba nitapewa Kesi nzito ya uchochezi au nitabambikwa Kesi ya kichwa, kwa sababu baadhi ya wahusika wa mkasa huo wengine bado ni Wafanyakazi wa huko. Sitaki kuhatarisha vibarua na maisha ya mtu yoyote yule.
 
Wahalifu waliouwa kule Simiyu unataka taatifa zao zikatolewe wapi? Wanaoteka watu waripotiwe wapi? Polisi wanapotoa taarifa zenye utata waripotiwe wapi? Au taarifa za ubadhirifu mkubwa unaofanywa na viongozi wa umma umeona wapi zikifanyiwa kazi? Wewe ni mnufaika wa mfumo ovu unata kushawishi jamii inayonyimwa haki ikae kwa kutulia kama wanyama wanaoswagwa kuelekezwa machinjioni.
 
sasa wewe inatofauti gani na yule mtu,

mathalani mko kwenye usafiri wa umma, kisha unaona kibaka anadokoa kwenye mkoba wa abiria mwenzako,

halafu wewe umekaa kimya unaangalia tu, kisha kibaka kashuka na kutokomea kusikojulikana,

ndipo baada ya abiria kugundua kaibiwa ndipo unajitokeza na kimbelembele chako eti uliona tukio zima tangu kibaka anafungua begi hadi anaiba alichoiba...

sasa zawadi yako si makofi tu πŸ’
 
kwahiyo,
unakuja kuripoti hapa ili uonewe huruma right?

sasa kama hutaki kuripoti uhalifu wowote panapohusika, baki na imani potofu na ushirikina wako karipoti unapo amini utasaidika...

hata hivyo,
vyombo husika vya uchunguzi, ulinzi na usalama viko tayari kushirikiana na wananchi wowote wenye taarifa sahihi za wahalifu katika kudhibiti uhalifu na kushughulika na masuala yote ya dhuluma za haki za kibinadamu popote nchini kwa maslahi mapana ya amani, umoja na utulivu wa wananchi πŸ’
 
Mimi sikushangai hata kidogo kwani ni wajibu kwa shetani mdogo kumtetea shetani mkubwa. Kesho ukiamka jitazame vizuri kwenye kioo...huo unaouona mbele yako ndio uovu katika sura ya binadamu!
kwamba unamuhubiria nabii au unatoa ushuhuda gentleman 🀣
 
Hata kukamatwa kisheria kunaleta amani ila kukamatwa na kupelekwa kusikojulikana ndo penye shida kunakomfundisha mtu ujeuri. Usuwalaumu raia.
ume make sense kirahisi kwa lugha nyepesi πŸ‘ŠπŸ’ͺ
 
maoni na mtazamo potofu ni sehemu ya mjadala huu muhimu,

Jambo la maana zaid ni kuepuka imani potofu za kishirikina kwenye masuala muhimu ya kitaifa na yenye maslahi mapana ya waTanzania wote πŸ’
Kuna washirikina zaidi ya hawa watekaji na wauaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…