Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #21
tuliza mihemko kidogo,Umbake mtoto mpaka afe halafu Mungu awe ameamua hiyo hatima? Jambazi mkubwa wewe, Kwahiyo Mungu ndiye aliyewatuma Wale waliomuua Asime? Mungu ndiye aliye waagiza wale waliomtandika Lisu zile risasi? Acha uchawi mkuu, hata kama unalipwa lakini kulipwa huko kusikufanye uwe Boga namna hiyo tumia akili kidogo. Mipango mfanye na kuratibu nyie halafu mmsingizie Mungu
wacha ghadhabu na kuendelea kujichanganya zaid....
yale ambayo yako chini ya serikali za wanadamu ambazo ni Neema na Baraka za Mungu yanafanyika kwa kiwango hicho vizuri sana...
yale ambayo Mwenyezi Mungu kaishaamua mwenyewe kama wanadamu hatuwez kuingilia kwa namna yoyote ile au hata kulaumu japo yanaumiza mtima...
Jambo la muhimu na la maana zaid ni ushirikiano na sio ushirikina. ikiwa una taarifa za kihalifu popote nchini, tafadhali usisite kutoa taarifa panapohusika ili atua stahiki zichukuliwe na haki itendeke 🐒