Ewe Raia mwema wa Tanzania usidanganyike, tii Sheria bila shuruti, zingatia wito na uamuzi wa Mahakama na Wananchi kwa hekima na busara

Ni uzalendo wa maana sana kuitikia wito wa dola, kutii maelekezo, ilani au amri za vyombo vya ulinzi na usalama bila ukaidi, ubishi wala kiburi kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi..

Jitahidi sana uwe Raia mwema siku zote, muungwana, mzalendo, mtiifu kwa sheria na katiba ya nchi, na kutoa ushirikiano kwa vyombo vya ulinzi na usalama ikihitajika, kamwe usikubali kuchochewa, kudanyanywa au kuhamasishwa na viongozi wa kisiasa wenye viburi na jeuri kwa dola, na wenye dhamira ya kuhatarisha au kuvuruga umoja, amani na utulivu wa wengine.

Usikubali kufundishwa ukaidi, jeuri na kiburi kwa Dola. daima, kumbuka akili za kuambiwa, ni vizuri ukanchanganya na zako.

Daima jitenge dhidi ya ukaidi kwa dola, kwasababu utaumia na utapata tabu sana ukiwa mwenyewe pekeyako na utalazimishwa kutii na kuheshimu katiba kwa shuruti na nguvu inayoweza kukusababishia madhara kimwili au kiakili.

kutii Sheria bila shuruti ndio mpango mzima wa amani na salama yako..🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Jambo la msingi wana siasa wanafanya kazi yao wapuuze kama wewe sio kazi yako ,na wewe fanya kazi zako kwa bidii ,ukiwazingatia utaishia pabaya Raia mwema.
 
Macroeconomy & Sovereign Data​

Type of GovernmentPresidential republic
CapitalDar es Salaam (administrative capital), Dodoma (legislative capital)
Sovereign RatingsS&P: Not rated
Moody’s: B1
Fitch: B+
Total Population65.2 million
Median Age17.2
Adult Per Capita Income (PPP)6,081.86
Total GDP (2023)79.6 billion
eeh kwahiyo?

hii ndiyo inakufanya unye porini? By the way ile ya maana zaid itakua unashiba vizuri na hulali njaa ambae ni adui wa Taifa 🐒

so,
Gentleman, ongeza bidii yakaz🐒
 
Kwani wale wafanya biashara wa mahenge walivyowakamata waliwafanya nini,waliwapeleka picnic au kutembea 😄
Mwanangu we polisi uione hivyo hivyo juu juu

Ova
Huyo ni miongoni mwa Watu waovu waliopo kwenye nchi hii, ndio maana anawatetea waovu wenzake kwamba tunapaswa kuwatii.
Wale Wafanyabiashara waliuawa kutokana na sababu za kiuhalifu tu walizonazo Polisi wengi zaidi waliopo hapa nchini.

Aidha, ogopa sana Polisi kujua kwamba una pesa, watakufuata ili wakupore pesa ulizonazo na Kisha wakuue ili kupoteza kabisa ushahidi. Nakumbuka mojawapo ya kisa kimoja cha kweli kilichotokea miaka zaidi ya kumi iliyopita ktk mkoa fulani ambao nisingependa kuutaja jina, wafanyabiashara wawili wa mifugo walikodi gari ili liwapeleke kwenye mnada wa mifugo (ng'ombe) ktk mji fulani. Wakiwa safarini njiani walikutana na gari la Polisi wa doria za barabarani, na Kisha gari la wafanyabiashara hao likasimamishwa, walikuwapo Askari Polisi wawili tu ambao baadaye ilijulikana kuwa walitumwa na Rpc ili kuwafuatilia wafanyabiashara hao na kuwakamata kwa sababu Polisi walishatonywa kuwa wafanyabiashara hao wamebeba fedha nyingi za kwenda kununulia ng'ombe. Wale wafayabiashara walikamatwa na Kisha kwenda kuhifadhiwa sehemu fulani kwenye nyumba binafsi ya mmoja wa maaskari, hawakupelelwa katika Kituo cha Polisi. Baadaye usiku "mkubwa" aiyewatuma kazi alikuja kwenye hiyo nyumba na kuchukua 'mzigo wake' na kisha kuamuru wafanyabiashara hao wote na dereva wamalizwe na gari yao kwenda kutelekezwa ktk mji wa mbali karibu 80km kwenye wilaya ya jirani, na ilifanyika hivyo usiku huo huo na baadaye ilikuja kujulikana kuwa wale wafanyabiashara walikuwa na fedha Tshs. 60milioni cash. Maiti za wale wafanyabiashara pamoja na dereva wao waliyemkodi walienda kuzitupa mbali kwenye mashamba ya wakulima. Wakati matukio yote haya yakiendelea kulikuwa na Askari Polisi mmoja ambaye hakuwa zamu siku hiyo ambaye alikuwa akiishi kwenye mtaa mmoja wenye nyumba walikohifadhiwa wafanyabiashara wa mifugo waliotekwa. Askari huyo baada ya kuona gari la Polisi wa doria lenye namba za kawaida za kiraia lilikuwa linapita mara kwa mara mtaani hapo siku hiyo aliamua kulifuatilia gari hilo na mchongo huo wote kisirisiri bila ya hao Askari wenzake kujua.
Miezi michache baaaye minong'ono ya taarifa hii ilivuja na ilianza kusambaa mitaani, wale Askari waliopiga dili walifuatilia ili kujua nani hasa chanzo cha taarifa za kubumbuluka kwa dili lao la Siri kubwa, wakagundua kuwa chanzo Cha kuvuja kwa taarifa hiyo ni Askari mwenzao . Ndani ya muda mfupi kabisa yule Askari aliyevujisha taarifa hizo alimalizwa/aliuawa, alikutwa 'amekufa' nyumbani kwake, na muda mfupi siku chache baadaye yule Rpc alihamishwa kutoka mkoa ule(inavyoonekana huenda makao makuu ya Polisi walipata taarifa za dili lile). Polisi ni hatari, kaa nao mbali kama umebeba pesa taslimu.
 
Jambo la msingi wana siasa wanafanya kazi yao wapuuze kama wewe sio kazi yako ,na wewe fanya kazi zako kwa bidii ,ukiwazingatia utaishia pabaya Raia mwema.
hilo ni jambo la maana sana umesema ila siasa hai epukiki, ndio maana mtaalamu moja wa mambo ya kisiasa alisema Human Being are Political Animals...

kwamba maisha yako ni pure politics..
kwenye familia kuna siasa yake, kwenye masuala ya kidini kuna siasa yake, kwenye michezo, kilimo, ufugaji, uvuvi n.k kote huko kuna siasa....

hata hivyo,
huyo mtaalamu aliendelea kuwatahadarisha kudanganya kwa kwakusema hawapendi siasa na eti kujitenga kushiriki siasa za majukwaani...

alisema hivi,
if you don't want to take part in political administrations don't blame to be ruled by a fool...

kwamba si hutaki kushiriki siasa, usilaumu sasa kuongozwa na mpumbavu alieshiriki siasa na kupata nafasi ya kuongoza 🤣
 
Huyo ni miongoni mwa Watu waovu waliopo kwenye nchi hii, ndio maana anawatetea waovu wenzake kwamba tunapaswa kuwatii.
Wale Wafanyabiashara waliuawa kutokana na sababu za kiuhalifu tu walizonazo Polisi wengi zaidi waliopo hapa nchini.

Aidha, ogopa sana Polisi kujua kwamba una pesa, watakufuata ili wakupore pesa ulizonazo na Kisha wakuue ili kupoteza kabisa ushahidi. Nakumbuka mojawapo ya kisa kimoja cha kweli kilichotokea miaka zaidi ya kumi iliyopita ktk mkoa fulani ambao nisingependa kuutaja jina, wafanyabiashara wawili wa mifugo walikodi gari ili liwapeleke kwenye mnada wa mifugo (ng'ombe) ktk mji fulani. Wakiwa safarini njiani walikutana na gari la Polisi wa doria za barabarani, na Kisha gari la wafanyabiashara hao likasimamishwa, walikuwapo Askari Polisi wawili tu ambao baadaye ilijulikana kuwa walitumwa na Rpc ili kuwafuatilia wafanyabiashara hao na kuwakamata kwa sababu Polisi walishatonywa kuwa wafanyabiashara hao wamebeba fedha nyingi za kwenda kununulia ng'ombe. Wale wafayabiashara walikamatwa na Kisha kwenda kuhifadhiwa sehemu fulani kwenye nyumba binafsi ya mmoja wa maaskari, hawakupelelwa katika Kituo cha Polisi. Baadaye usiku "mkubwa" aiyewatuma kazi alikuja kwenye hiyo nyumba na kuchukua 'mzigo wake' na kisha kuamuru wafanyabiashara hao wote na dereva wamalizwe na gari yao kwenda kutelekezwa ktk mji wa mbali karibu 80km kwenye wilaya ya jirani, na ilifanyika hivyo usiku huo huo na baadaye ilikuja kujulikana kuwa wale wafanyabiashara walikuwa na fedha Tshs. 60milioni cash. Maiti za wale wafanyabiashara pamoja na dereva wao waliyemkodi walienda kuzitupa mbali kwenye mashamba ya wakulima. Wakati matukio yote haya yakiendelea kulikuwa na Askari Polisi mmoja ambaye hakuwa zamu siku hiyo ambaye alikuwa akiishi kwenye mtaa mmoja wenye nyumba walikohifadhiwa wafanyabiashara wa mifugo waliotekwa. Askari huyo baada ya kuona gari la Polisi wa doria lenye namba za kawaida za kiraia lilikuwa linapita mara kwa mara mtaani hapo siku hiyo aliamua kulifuatilia gari hilo na mchongo huo wote kisirisiri bila ya hao Askari wenzake kujua.
Miezi michache baaaye minong'ono ya taarifa hii ilivuja na ilianza kusambaa mitaani, wale Askari waliopiga dili walifuatilia ili kujua nani hasa chanzo cha taarifa za kubumbuluka kwa dili lao la Siri kubwa, wakagundua kuwa chanzo Cha kuvuja kwa taarifa hiyo ni Askari mwenzao . Ndani ya muda mfupi kabisa yule Askari aliyevujisha taarifa hizo alimalizwa/aliuawa, alikutwa 'amekufa' nyumbani kwake, na muda mfupi siku chache baadaye yule Rpc alihamishwa kutoka mkoa ule(inavyoonekana huenda makao makuu ya Polisi walipata taarifa za dili lile). Polisi ni hatari, kaa nao mbali kama umebeba pesa taslimu.
kwa assessment yangu binafsi,
mimi si muovu, licha ya huenda nikawa na mapungufu na madhaifu ya kibinadamu kama wengine, hata hivyo ni Mungu Mwenyezi pekee ananijua vyema. Namshukuru sana kwa Neema na Baraka zake alizonijaalia hata nikawa hivi nilivyo...

wananchi jimboni wananipenda sana, wananiamini sana na kwa uhakika wananikubali sana kwa bidii ya kazi ile ambayo wamenipatia niwafanyie kwa maslahi mapana ya jimbo zima la uchaguzi...

hata hivyo,
wananiamini na kumkubali zaid kipenz cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hassan ambae ni kiongozi na mkuu wa nchi yetu Tanzania.
kwa hakika tupo mikono salama, chini ya mama huyu...

jambo la mwisho,
simulizi yako ya kubuni inasisimia na kusikitisha sana, ama kwahakika unaweza kutunga stori zenye kuhuzunisha namna hiyo,

lakini ungekua ni halisi,
hakuna mpenda haki angethubutu kukaa kimya kwa unyama na uovu na ukatiki wa aina hiyo....

ila kwakua ni simulizi ni sawa tu ilisha kama ilivyo isha na binafsi sina hata cha kuongeza, kwasabb humu nchini hapajawahi kutokea kisa kama hicho tangu uhuru popote nchini Tanzania 🐒
 
Je, kwa hapa Tanzania Kuna Kutii Sheria bila Shuruti au Kuna KUTII SHURUTI BILA SHERIA?????
hayo ni maoni na mtazamo mseto miongoni mwa jamii tunamo ishi...

lakini tangu tupate uhuru kama Taifa,
waTanzania tumekua tukitii sheria bila ukaidi wala shuruti, na huo ndio umekua utamaduni, mila na desturi yetu kama Taifa, kuheshimu wito wa mamlaka za kimahakama, kiuchunguzi, ulinzi na usalama wa Taifa letu bila kiburi 🐒

ila wanasiasa waliofilisika hoja na wanaharakti uchwara wanaharibu kuchochea chuki kwa wananchi dhidi ya vyombo vya ulinzi na usalama, na kuwafundisha ukaidi, jeuri na kiburi cha kutii sheria bila shuruti...

hiyo haitawezekana my friend 🐒
 
muamuzi wa kubadili chochote nchini ni mwananchi mwenyewe 🐒

hata hivyo itategemea na yeye kuvutiwa na mawazo mapya, sera nzuri za kuleta mabadiliko kwake, mipango mikakati, na fikra mbadala za kubadili maisha yake dhidi ya mipango mikakati inayoathiri maisha na mustakabali wa maisha ya mwananchi....

na sio kulalamika kwa uhodari sana, au kutia huruma na huzuni sana, au kuwa hodari wa kuhisi kutuhumu wengine kwa mambo ya uzushi...

au eti uniseme mimi vibaya ili wewe upendwe na kuonekana wa maana,
gentleman , hiyo haitoshi kuleta wala kuchochea mageuzi au mabadiliko popote 🐒

mabadiliko huchochewa na mawazo mapya na fikra mbadala dhidi ya zinaonekana dhaifu 🐒

humu nchini yuko wap basi, hata huyo mwenye afadhalli tu kidogo ya hizo fikra mbadala na mawazo mapya?

utacheka 🤣
Nani ana mamlaka ya kusema mwananchi asilalamike kama yeye anaona ana sababu ya kulalamika?
 
sasa malalamiko hayawezi kuleta mabadiliko gentleman...

na ikiwa ni hivyo,
si tayari malalamiko yameshapokelewa na yanafanyiwa kazi, muwe watulivu na wenye subra tu sasa?🐒
 
Sheria za kuonea raia! Ni Sheria za kulinda dola siyo za kulinda raia.
hizo zinatumika labda hafghanistan huko...

Tanzania ni nchi ya Kidemokrasia ya vyama vingi inayoongozwa kwa utawala wa kiraia kisheria na kikatiba 🐒
 
Kwa sasa hakuna tofauti ya Tanzania na Afghanstan!
Kuteka raia na kuwapoteza?
maoni na mtazamo potofu ni sehemu ya mjadala huu muhimu,

Jambo la maana zaid ni kuepuka imani potofu za kishirikina kwenye masuala muhimu ya kitaifa na yenye maslahi mapana ya waTanzania wote 🐒
 
Ni uzalendo wa maana sana kuitikia wito wa dola, kutii maelekezo, ilani au amri za vyombo vya ulinzi na usalama bila ukaidi, ubishi wala kiburi kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi..

Jitahidi sana uwe Raia mwema siku zote, muungwana, mzalendo, mtiifu kwa sheria na katiba ya nchi, na kutoa ushirikiano kwa vyombo vya ulinzi na usalama ikihitajika, kamwe usikubali kuchochewa, kudanyanywa au kuhamasishwa na viongozi wa kisiasa wenye viburi na jeuri kwa dola, na wenye dhamira ya kuhatarisha au kuvuruga umoja, amani na utulivu wa wengine.

Usikubali kufundishwa ukaidi, jeuri na kiburi kwa Dola. daima, kumbuka akili za kuambiwa, ni vizuri ukanchanganya na zako.

Daima jitenge dhidi ya ukaidi kwa dola, kwasababu utaumia na utapata tabu sana ukiwa mwenyewe pekeyako na utalazimishwa kutii na kuheshimu katiba kwa shuruti na nguvu inayoweza kukusababishia madhara kimwili au kiakili.

kutii Sheria bila shuruti ndio mpango mzima wa amani na salama yako..🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Umemaliza kudemka hapo kwenu kizimkazi?
 
nadhani kwa hisia binafsi, chuki binafsi, mihemko na ghadhabu unaweza kutuhumu taasisi au mtu yoyote kuhusika na unachofikiri,

lakini kiuhalisia hakuna zaid ya Mungu Mwenyezi Mwenyewe kuamua hatma ya kila mja wake humu duniani..

full stop!🐒
Wenye Vyombo vyao wala hawana hizi hoja!!

Wewe Dume jike umo tu
 
mbobevu ni muhimu kutia neno kwa maslahi mapana ya kuongeza ufahamu na uelewa wa kutosha wa wananchi juu ya masuala haya,

kwan kuna Tatizo gentleman kusema ukweli? 🐒
 
Back
Top Bottom