Ewe uliyoko Tanzania, Usije Ukaratibu, Ukatoka, Ukaandamana tarehe 7-7-2026

Ni sasa na kumuambia mtu asifanye ibada, Maandamano ya July hata Polisi n.a. wanajeshi watashiriki
Wewe unajulikana kelele nyingi hapa muda ukifika unakimbilia mvunguni.Wadanganyeni wajinga wajitokeze kufanya uhalifu mtakutana na mkono wa Serikali.Hakuna huruma ukileta vurugu na kuchochea vurugu.
 
Nawaonya vijana maana nyinyi ndiyo mnashikika masikio kirahisi msije mkajaribu kuratibu, kupanga na kuandamana tarehe 7.7.2026 kutakua kuna show ambayo haijawahi kutokea.

Vyombo vya Ulinzi na Usalama vimejiandaa kikamilifu kwani huwa mnakosa tactical na kutangaza mapema mtachafua sana Lami safari hii hivyo kama unategemewa una watoto, Mke, Mama, baba na wadogo zako tafadhali pumzika kwako au Kwenu maana ulinzi ni Mkubwa mno.

Lakini pia wahahamasishaji ambao wako nje ya nchi hasa Kenya, Marekani na Uingereza wao wanajua ambacho kingewakuta ndiyo maana wanahamasisha wakiwa huko naamini katika uwezo wa IGP CP Camilius Wambura atafanikiwa vizuri kudhibiti vitendo vyovyote vya kihalifu siku hiyo ya tarehe 7.7.2026. Andaa nguo zako kwa ajili ya kuzika kwani mwili wako hautapatikana.

R.I.P Mbishi.
Vifo vya watu wewe unaita show!
 
Sawa funaku
 
Ona jinga lingine hili hapa
Mbona hujatuwekea kinyesi/ mavi Yako ya Leo kama ufanyavu Ili tuyaone? Umesahau? Nasikia huwa yanatoka yenyewe kama shaka
 
Nawaonya vijana maana nyinyi ndiyo mnashikika masikio kirahisi msije mkajaribu kuratibu, kupanga na kuandamana tarehe 7.7.2026 kutakua kuna show ambayo haijawahi kutokea.

Vyombo vya Ulinzi na Usalama vimejiandaa kikamilifu kwani huwa mnakosa tactical na kutangaza mapema mtachafua sana Lami safari hii hivyo kama unategemewa una watoto, Mke, Mama, baba na wadogo zako tafadhali pumzika kwako au Kwenu maana ulinzi ni Mkubwa mno.

Lakini pia wahahamasishaji ambao wako nje ya nchi hasa Kenya, Marekani na Uingereza wao wanajua ambacho kingewakuta ndiyo maana wanahamasisha wakiwa huko naamini katika uwezo wa IGP CP Camilius Wambura atafanikiwa vizuri kudhibiti vitendo vyovyote vya kihalifu siku hiyo ya tarehe 7.7.2026. Andaa nguo zako kwa ajili ya kuzika kwani mwili wako hautapatikana.

R.I.P Mbishi.
Maandamano kwa sasa hayaepukiki Tanzania... Kadri mnavopambana kuyazuia ndivyo yanavyozidi kupangwa!
Baada ya muda tutafika stage ya watu kujitoa kubutua kombolela kwa niaba ya wengine!
 
Nawaonya vijana maana nyinyi ndiyo mnashikika masikio kirahisi msije mkajaribu kuratibu, kupanga na kuandamana tarehe 7.7.2026 kutakua kuna show ambayo haijawahi kutokea.

Vyombo vya Ulinzi na Usalama vimejiandaa kikamilifu kwani huwa mnakosa tactical na kutangaza mapema mtachafua sana Lami safari hii hivyo kama unategemewa una watoto, Mke, Mama, baba na wadogo zako tafadhali pumzika kwako au Kwenu maana ulinzi ni Mkubwa mno.

Lakini pia wahahamasishaji ambao wako nje ya nchi hasa Kenya, Marekani na Uingereza wao wanajua ambacho kingewakuta ndiyo maana wanahamasisha wakiwa huko naamini katika uwezo wa IGP CP Camilius Wambura atafanikiwa vizuri kudhibiti vitendo vyovyote vya kihalifu siku hiyo ya tarehe 7.7.2026. Andaa nguo zako kwa ajili ya kuzika kwani mwili wako hautapatikana.

R.I.P Mbishi.
Chai
 
Kitendo tu cha watu kuongelea maandamano na kuonyesha resistance Kila siku maana yake Kuna kitu hakipo sawa kwenye hili taifa.

Raia wengi sana wamechoshwa na namna nchi inavyoendeshwa. Rushwa,udisadi, inequality,kutekwa na kuuawa kwa raia,police brutality na mambo mengi ya hovyo.

Kama nchi tunapaswa tujitafakari sana huu mwenendo siyo mzuri.

Mimi binafsi kitendo cha kuona Uganda wameanza kutupita kiuchumi na sisi tupo bize na kuuana, kutekana na uchawa wa viongozi kwa Samia Huku nchi ikiwa ime-stuck inauma sana.
 
Nawaonya vijana maana nyinyi ndiyo mnashikika masikio kirahisi msije mkajaribu kuratibu, kupanga na kuandamana tarehe 7.7.2026 kutakua kuna show ambayo haijawahi kutokea.

Vyombo vya Ulinzi na Usalama vimejiandaa kikamilifu kwani huwa mnakosa tactical na kutangaza mapema mtachafua sana Lami safari hii hivyo kama unategemewa una watoto, Mke, Mama, baba na wadogo zako tafadhali pumzika kwako au Kwenu maana ulinzi ni Mkubwa mno.

Lakini pia wahahamasishaji ambao wako nje ya nchi hasa Kenya, Marekani na Uingereza wao wanajua ambacho kingewakuta ndiyo maana wanahamasisha wakiwa huko naamini katika uwezo wa IGP CP Camilius Wambura atafanikiwa vizuri kudhibiti vitendo vyovyote vya kihalifu siku hiyo ya tarehe 7.7.2026. Andaa nguo zako kwa ajili ya kuzika kwani mwili wako hautapatikana.

R.I.P Mbishi.
Mbona ni rahisi tu.

Huu ushauri wako usisahau kumfikishia Samia na Genge lake. Wakati wao umekwisha.

Anao uchaguzi mmoja kati ya matatu> Afie jela, au afie mitaani na maiti yake iburuzwe kwenye mavumbi. Chaguo la tatu, awahi kukumbilia kwa wajomba au Urusi kabla ya mikono ya waTanzania haijamfikia.

Hiyo CCM inayokuzuzua wewe, mtagawana mbao wenyewe kwa wenyewe baada ya kuondolewa madarakani
 
Back
Top Bottom