Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Mbona Magufuli hayupo, au naye aliandamana hiyo 30-10-2025? Maandamano ya amani yako pale pale, mtasema ni wapi kura 31m zimetokea, na ule mchakato wa katiba mpya kuanza ndani ya siku 100 umeishia wapi. Hakuna wajinga. Na mkituua mjiandae na sisi kukakamata silaha kwenye maandamano ya wakati wa michuano ya AFCON.Nyi wengine huwaga mpo hapa JF wenzenu last seen zao 30.10.2025