Ewe uliyoko Tanzania, Usije Ukaratibu, Ukatoka, Ukaandamana tarehe 7-7-2026

Ewe uliyoko Tanzania, Usije Ukaratibu, Ukatoka, Ukaandamana tarehe 7-7-2026

Mnaoshadidia maandamano acheni kuwadanganya wenzenu, mnaandama nyuma ya Keyboard tu kutoka nje hamuwezi. Mnachochea wajinga ili watoke nje wafumuliwe mafuvu alafu watoto wao wabaki yatima. Endeleeni na kazi zenu maandamano ni ya Wakenya
 
Nawaonya vijana maana nyinyi ndiyo mnashikika masikio kirahisi msije mkajaribu kuratibu, kupanga na kuandamana tarehe 7.7.2026 kutakua kuna show ambayo haijawahi kutokea.

Vyombo vya Ulinzi na Usalama vimejiandaa kikamilifu kwani huwa mnakosa tactical na kutangaza mapema mtachafua sana Lami safari hii hivyo kama unategemewa una watoto, Mke, Mama, baba na wadogo zako tafadhali pumzika kwako au Kwenu maana ulinzi ni Mkubwa mno.

Lakini pia wahahamasishaji ambao wako nje ya nchi hasa Kenya, Marekani na Uingereza wao wanajua ambacho kingewakuta ndiyo maana wanahamasisha wakiwa huko naamini katika uwezo wa IGP CP Camilius Wambura atafanikiwa vizuri kudhibiti vitendo vyovyote vya kihalifu siku hiyo ya tarehe 7.7.2026. Andaa nguo zako kwa ajili ya kuzika kwani mwili wako hautapatikana.

R.I.P Mbishi.
Dada tuliza kushuzi hicho haya mambo ya kiumeni wewe chukua kopo nenda maliwatoni ukaipige maji mumeo karibu anarudi aipige .
 
Sidhani kama kuna mtu yeyote kutoka hapa jamiiforum ataandamana,wengi wanachochea,halafu wanakaa wanasikilizia nani yupo road,acheni ujinga nyie watu , familia nyingine zimepoteza watu wengi Sana.

Watoto,ndugu na jamaa ambao wengine hata hawakuwa kwenye maandamano,mtu anatoka zake kazini anauawa.

Halafu hata hivyo Tanzania hakuna waandamanaji,kwani ukirejea yale ya 29 October unajikuta unapata hasira,haswa baada ya watu kuharibiwa mali na biashara zao na vibaka na wezi waliojiita waandamanaji.

Ukiacha matukio makubwa kama uchomaji wa vituo vya mafuta na maduka makubwa.

Kuna watu hadi leo hii wana maisha magumu baada ya kuibiwa vitu vyao vyote kwenye viduka na vioski vyao.

Mtu ana mtaji wa milioni mbili kushuka chini , mtu huyu anategemea faida anayopata pale alipe Ada, Kodi na bili zote halafu anaibiwa na kuharibiwa vitu vyote.

Kumbuka ni vigumu mtu huyu kupata msaada wa kurudishiwa vitu vyake kwakuwa wengi biashara hazijasajiliwa (hazitambuliki) hawalipi kodi Kwa wakati
Kubwa zaidi hawana BIMA hivyo walipoteza biashara zao moja Kwa moja.

Lakini wengine wenye biashara kubwa naamini walilipwa kwani biashara zipo kwenye mfumo rasmi na uharibifu ulionekana wazi, filing stations,magari kuchomwa Moto,maduka makubwa.

Enyi vijana wa kitanzania tafuteni njia nyingine kufikisha ujumbe Kwa serikali na siyo hicho mnachotaka kufanya
 
Attachments

  • downloadfile-98.jpg
    downloadfile-98.jpg
    100.9 KB · Views: 10

True that hawa huwaga wanaingia JF na kucharaza keyboard kujua tuu kama kimara kimenuka, Buguruni kimenuka Mbagala kimenuka basi wao wanahakikisha wana bundle za internet tuu
 
Huwa namshusha sana mtu anayeamini kwamba watu wanachochewa kufanya maandamano, hivi kwa jinsi taifa letu lilipofikia unategemea mtu atamsubiri mange amwambie nini cha kufanya??
Alafu kuna maandamano na kuna vurugu hivi ni vitu viwili tofauti.
 
Liwalo na liwe ata sisi tumejipanga.. Kufa kupo tu tutatangulizana.
Ama zenu ama zetu, ila mpaka mtoke tu.

Na umoja wa ulaya wanaisubiri hii siku
 
Ni sasa na kumuambia mtu asifanye ibada, Maandamano ya July hata Polisi n.a. wanajeshi watashiriki
Habari za kutegemea hao uliowataja kushiriki au kusaidia waandamanaji iliwaponza vijana MO29.
Hao wachukuliwe wako pamoja na adui muuwaji.
Stay alert, remain vigilant.
 
77 ni moto 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
 
Safari hii haitakuwa kama ilivyokuwa kwani yafuatayo yatatokea ikiwa wananchi watatoka na mkawauwa tena.
1. CCM itaondoka mazima madarakani kupitia nguvu ya umma.
2. Jeshi limeshajifunza kutokana na makosa safari hii hawatafyatulia watu risasi kisa kuitetea ccm.
3. Hakuna kima Wala tumbili atavuka mpaka kuingia Tanzania kutoka Uganda Wala Zanzibar kuja kuwauwa WATANGANYIKA.
4. Shoot to kill itapuuzwa na wanajeshi na hata polisi wema.
5. Umoja wa mataifa ulaya na marekani ndio utapata sababu 1000 za kuitoa ccm madarakani.

CCM imechokwa ni takwa la kihistoria msilazimishe yatawatokea puani kwasasa mnajivunia uoga wa watanzania lakini haimaanishi lolote hawawezi kufanya don't underestimate Tanganyikans yangu macho tena mdiliko.
Acha maneno mengi toka nje siku hiyo usiwaingize cha kike vijana wakauwawa wakati wewe umekaa chumbani kwako unaangalia TV miguu umeikunjia kwenye kochi.
 
Mnaoshadidia maandamano acheni kuwadanganya wenzenu, mnaandama nyuma ya Keyboard tu kutoka nje hamuwezi. Mnachochea wajinga ili watoke nje wafumuliwe mafuvu alafu watoto wao wabaki yatima. Endeleeni na kazi zenu maandamano ni ya Wakenya
Njaa mbaya sana mkuu. Wao wanaopigwa risasi wanalipwa tshs 50,000 wakati kina Mange wanaingiza mamilioni.
 
Wanayaweka majeshi yetu yawe katika utayari Kila muda, kama majeshi yetu yanavyofanya mazoezi ya utayari kama Zima moto vile wanavyozuaga taharuki
 
Back
Top Bottom