masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
- Thread starter
-
- #81
Dah aiseeeWatu wa kununanuna ukiwapa attention umekwisha, wao wanaweza kulia mioyoni mwao ila wewe kama huwezi kukereketwa kimoyomoyo utamlilia sana.
Kwa mfano ndo mwenza wako utafanyaje sasaHIvi mtu anawezaje kuishi na malaya, magonjwa yote haya duh
Pole sana... we live once so hakuna kuishi kwenye kivuli cha mtu asiyekujali.Weee acha tu
Nimenyooshwa
Hahaha
Am good now
Sija pata talaka bado ila ilaPole Sana Ila wewe ndio umepoteza yeye anadunda tu na maisha yake. Kama kweli umemsahau usinge mkumbuka kumuanzishia thread hapa.
Aiseeee hii point ya muhimu sanaaaPole sana... we live once so hakuna kuishi kwenye kivuli cha mtu asiyekujali.
Unayo sema nikweli kwajinsi unavyo jihisi kwa sasa Ila Mimi nakwambia bado unampenda na yeye anakupenda sikumoja utakuja kuamini maneno yangu. Alafu iyo mwanaume wako inaonekana ana IQ kubwa kidogo watu Kama hao wanaona mapenzi nikitu Cha kawaida Sana Ila Wana VITU vyengine VYA kijingajinga ndio vina wasumbi.Sija pata talaka bado ila ila
Ila kitendo cha kuweza ku survive one month then huu wo pili
Nilikua na hali mbaya usiku mmoja tu haupiti
Weeee acheni aitwe Mungu huyu
Yaani moyo tu kama umekufa hivi
Baadae watu watasema nina roho mbaya naomba lisitokee lolote
Maana sijui kama naweza kumjali hata kwa hali gani
Sina moyo kabisa as we speak
Hapana kwa sasa simpendiUnayo sema nikweli kwajinsi unavyo jihisi kwa sasa Ila Mimi nakwambia bado unampenda na yeye anakupenda sikumoja utakuja kuamini maneno yangu. Alafu iyo mwanaume wako inaonekana ana IQ kubwa kidogo watu Kama hao wanaona mapenzi nikitu Cha kawaida Sana Ila Wana VITU vyengine VYA kijingajinga ndio vina wasumbi.
HahahaKwani church boy ni watu gani… siku hizi ni utapeli tu
Hii issue ina uhusiano na Yale uliyopitia?……last week nilikua Nairobi na negotiate deal la kuwa distributor wa kampuni kubwa na kongwe EAST AFRICA
Kuna kulia na kusaga meno😂😂kumbe kuna makombora ya hatari
Unaonekana we ni Mwanamke Smart sijui ilikuwaje ukapotea njia.Huwezi mtesa mtu kwa miaka mingi alafu ufikirie bado atakua na mapenzi yale yale
Siriaz???
Haya Dada Sio kila MWANAMKE au mwanaume aoe au aolewe wengine wamekuja Duniani kwa kufanya Mambo mengine.Hapana kwa sasa simpendi
Namuheshimu tu kama binadamu mwingine
Na pia kama baba wa hawa machalii
Ila najijua kabisaaa
Najijua
For 7yrs najijua nina kama two yrs tangu niingie ganzi
Nakumbuka pamoja na ups and down nilikua na enjoy sex sanaaaa
Yaani hii is great kwenye sex
Ila kwa huu mwaka uliopita 2023 ndo tumekutana mara nyingi sijawah ku enjoy kama zamani so i new something is up
Huwezi mtesa mtu kwa miaka mingi alafu ufikirie bado atakua na mapenzi yale yale
Siriaz???
Mnakosea sana.Nishavuka huko Mimi naamini sana Mungu
Kila kitu Mungu akitaka kiwe chako kitakuwa na kama sio hata upinduke juu chini hakiwez kuwa naridhika na kudra zake
Alichotaka niwe nacho ndio changu nitaumia lakin never huwez nisikia nasema wanaume wote mbwa 😀
Wanawake wote wa JFS mna historia zilizojificha.Nishavuka huko Mimi naamini sana Mungu
Kila kitu Mungu akitaka kiwe chako kitakuwa na kama sio hata upinduke juu chini hakiwez kuwa naridhika na kudra zake
Alichotaka niwe nacho ndio changu nitaumia lakin never huwez nisikia nasema wanaume wote mbwa 😀
Sasa ndo nachosemea Mimi ule upendo ni genuine ukiwa disappointed ni ngumu kurudi vleFirst love nilipenda hasa na niliumia
Hiyo mbona kawaida full kugongesha meno😄first love nilikuwa mshamba nilikuwa sijui hata kukiss vizuri
Tuliiiiya!Kuuuuumbe!
Kwahiyo wakaninyooshea mdogo wangu🤣Tuliiiiya!
Ganzi inaisha cute,mi umekufa mazimaAiseee siamini kama sasa hivi moyo wangu umekua na ganzi kiasi hiki.
😂😂😂😂Ile ingekua ww tungeshakuzikaKwahiyo wakaninyooshea mdogo wangu🤣