Ewe unaeteseka na mapenzi amini katika muda! Muda utakuponya na kukubadilishia kila kitu

Ewe unaeteseka na mapenzi amini katika muda! Muda utakuponya na kukubadilishia kila kitu

Watu wa kununanuna ukiwapa attention umekwisha, wao wanaweza kulia mioyoni mwao ila wewe kama huwezi kukereketwa kimoyomoyo utamlilia sana.
Dah aiseee
Yaani umeongea jambo ambalo siwezi kuliweka kwa maneno
Anakuumiza mpaka kwenye mfupa
Wewe unalia yeye walaaa
Aisee
Ukimpa attention ndo balaa
 
Pole Sana Ila wewe ndio umepoteza yeye anadunda tu na maisha yake. Kama kweli umemsahau usinge mkumbuka kumuanzishia thread hapa.
Sija pata talaka bado ila ila
Ila kitendo cha kuweza ku survive one month then huu wo pili

Nilikua na hali mbaya usiku mmoja tu haupiti

Weeee acheni aitwe Mungu huyu
Yaani moyo tu kama umekufa hivi

Baadae watu watasema nina roho mbaya naomba lisitokee lolote
Maana sijui kama naweza kumjali hata kwa hali gani
Sina moyo kabisa as we speak
 
Pole sana... we live once so hakuna kuishi kwenye kivuli cha mtu asiyekujali.
Aiseeee hii point ya muhimu sanaaa

Am planning to ask for devorce and first separation but nasubiri mwaka mmoja upite
Coz sina mpenzi useme nahitaji kiwa free au nina matarajio ya mpenzi hapana

So sina haraka kabisa
As long as nimeshaclose chapter hiyo
But baada ya haya maskukuu
Nitawajulisha wazamini kwamba tumeshatengana kwa muda
I will update them in devorce

Yaaani naskia raha sana
I can decide on my self am very happy
Juzi nilienda sehem kuwanunulia wanangu kukuchoma wakati naisubiri iive nikaagiza supu ya utumbo
Nafikiri for the first time nakaa sehem za starehe on my own……aiseee Sifa na utukufu urudi kwa Mungu
naona sasa raha ya maisha
 
Sija pata talaka bado ila ila
Ila kitendo cha kuweza ku survive one month then huu wo pili

Nilikua na hali mbaya usiku mmoja tu haupiti

Weeee acheni aitwe Mungu huyu
Yaani moyo tu kama umekufa hivi

Baadae watu watasema nina roho mbaya naomba lisitokee lolote
Maana sijui kama naweza kumjali hata kwa hali gani
Sina moyo kabisa as we speak
Unayo sema nikweli kwajinsi unavyo jihisi kwa sasa Ila Mimi nakwambia bado unampenda na yeye anakupenda sikumoja utakuja kuamini maneno yangu. Alafu iyo mwanaume wako inaonekana ana IQ kubwa kidogo watu Kama hao wanaona mapenzi nikitu Cha kawaida Sana Ila Wana VITU vyengine VYA kijingajinga ndio vina wasumbi.
 
Nasoma jumbe zenu zote
Lakini niwaambie tu

Nimeishi kwenye tanuru la moto

Kwa yoyote anaepitia magumu
Amini katika muda
Amini katika MUNGU
Pia amini katika wewe
……last week nilikua Nairobi na negotiate deal la kuwa distributor wa kampuni kubwa na kongwe EAST AFRICA
Nyie from crying all night…..
Nawaambia hivi
Machungu yangu nimeyageuza a driving force….
Amini hata wewe utavuka
 
Unayo sema nikweli kwajinsi unavyo jihisi kwa sasa Ila Mimi nakwambia bado unampenda na yeye anakupenda sikumoja utakuja kuamini maneno yangu. Alafu iyo mwanaume wako inaonekana ana IQ kubwa kidogo watu Kama hao wanaona mapenzi nikitu Cha kawaida Sana Ila Wana VITU vyengine VYA kijingajinga ndio vina wasumbi.
Hapana kwa sasa simpendi
Namuheshimu tu kama binadamu mwingine
Na pia kama baba wa hawa machalii
Ila najijua kabisaaa
Najijua
For 7yrs najijua nina kama two yrs tangu niingie ganzi
Nakumbuka pamoja na ups and down nilikua na enjoy sex sanaaaa
Yaani hii is great kwenye sex
Ila kwa huu mwaka uliopita 2023 ndo tumekutana mara nyingi sijawah ku enjoy kama zamani so i new something is up

Huwezi mtesa mtu kwa miaka mingi alafu ufikirie bado atakua na mapenzi yale yale
Siriaz???
 
Haya Dada Sio kila MWANAMKE au mwanaume aoe au aolewe wengine wamekuja Duniani kwa kufanya Mambo mengine.
 
Nishavuka huko Mimi naamini sana Mungu
Kila kitu Mungu akitaka kiwe chako kitakuwa na kama sio hata upinduke juu chini hakiwez kuwa naridhika na kudra zake

Alichotaka niwe nacho ndio changu nitaumia lakin never huwez nisikia nasema wanaume wote mbwa 😀
Mnakosea sana.
Mungu hapangi kila kitu kuhusu sisi.
Maana imeandikwa... ufalme wa Mungu hutekwa na wenye nguvu.

Pili imeandikwa; Mwenye haki ataishi kwa imani akiisitasita lkn akisita sita yeye Mungu hatakuridhia.
.
Mungu ametupa nguvu ya kuyapambania tunayoyata.
Tuache visingizio🤣
 
Nishavuka huko Mimi naamini sana Mungu
Kila kitu Mungu akitaka kiwe chako kitakuwa na kama sio hata upinduke juu chini hakiwez kuwa naridhika na kudra zake

Alichotaka niwe nacho ndio changu nitaumia lakin never huwez nisikia nasema wanaume wote mbwa 😀
Wanawake wote wa JFS mna historia zilizojificha.

Unaweza kudhani Mwanaum3 ni mbaya kumbe shida iko kwako kutokana na matarajio makubwa uliyojiwekea. Sasa ukikuta huyapati ndio hapo unaanza kuona wanaume ni Mbwa
 
Back
Top Bottom