Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
- Thread starter
-
- #81
sasa kama hawana shida kwann unasema wanahitaji mwanaume imara. na uo uimara wa mwanaume ni kitu gani hasa?Mkuu, wanawake wa kijaluo na kikurya si wakorofi. Ni watiifu tu ila wanahitaji mwanaume uwe imara.
Uwe na msimamo na uchape kazi. Otherwise wanakuona fala.
Kuhusu wajita, wanaongea sana..mdomo mwingi.
So kama huwezi kelele, kaa mbali nao.
Tabia ukaa kwenye damuSi kweli.
Mtoto hulelewa na jamii nzima huko ujaluoni na kwa wakurya.
Nakuhakikishia, wamama wapo cool.. Wana authoritaty kwa watoto wao ila si authoritarians kama wababa.
Sawa Mkuu, nashukuru, ila vipi kuhusu uchawi kwa Wajita?Mkuu, wanawake wa kijaluo na kikurya si wakorofi. Ni watiifu tu ila wanahitaji mwanaume uwe imara.
Uwe na msimamo na uchape kazi. Otherwise wanakuona fala.
Kuhusu wajita, wanaongea sana..mdomo mwingi.
So kama huwezi kelele, kaa mbali nao.
mkuu ulifuzu KKK?Uliposema wagogo ni watu wa pwani, nikaacha kuuzingatia uzi huu [emoji116]
Kuna Kabila huko mara linaitwa wajita. Hawa wapo wa aina mbili, waluli pamoja na wakwaya.Na
Mkuu hebu fafanua vizuri kuhusu hili, kiukweli nina vested interests.
โน๏ธNdoa ni kama serikali ya CCM na kituo cha Ostabey kuwa Katavi
mkuu umesoma yaloandikwa umu au umeandika tu?Jamii za kanda ya ziwa zinamjenga mwanamke kua Mnyenyekevu Sana
Achana na hao wa mjini [emoji117]Nenda kaoe Binti wa kikurya haswa utakuja kunishukuru Hapa [emoji419]
Aliyekutangulia kakutangulia tu. Punguzeni ujuaji vijana.Kuna wajinga pia wamezeeka, sio kila mzee ana busara
Ndo huyo huyo ambae umetoa order kabisa uking'ata shuka asiolewe?Demu wangu wa ujana alinifukuza na panga kisa nimeenda bila mboga Wala Hela. Daah Cha ajabu anakuja situka imoo. Sasa Huwa nawaza nna ya kwenda kumleta huyo mtoto saivi miaka4 sijawahi enda hanijui simjui tunaongea Kwa simu.
Najiuliza kama binti alinichukulia panga na kunitoa nduki vipi kaka zake na baba yake si nitarudi Sina jicho Moja na sikio? Wajita mpo Hivi?
๐๐ukute tumevaa trak,skuna,kitenge,soksi,gauni ,mzula/bosholi,,,yaani izo zinavaliwa mara mojaHaahaa na mnapenda nguo ready-made za dukani
usikose kutembelea uzi wa fotooEmbu tuone picha yako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]soksi za mistari ya pundamilia[emoji23][emoji23]ukute tumevaa trak,skuna,kitenge,soksi,gauni ,mzula/bosholi,,,yaani izo zinavaliwa mara moja
Mkuu kuhusu uchawi, mi siamini hayo mambo.Sawa Mkuu, nashukuru, ila vipi kuhusu uchawi kwa Wajita?
Siyo yeye sikuuweza mziki wake mkuu.Ndo huyo huyo ambae umetoa order kabisa uking'ata shuka asiolewe?
Mwanaume imara ni anayejishughulisha kukuza uchumi wa familia, kuilinda dhidi ya wasioitakia mema, anayewajibika kama baba wa familia n.k kimsingi anatimiza wajibu wake wa mwanaume anayejitambua.sasa kama hawana shida kwann unasema wanahitaji mwanaume imara. na uo uimara wa mwanaume ni kitu gani hasa?