Ewe unayetaka ndoa, ukitaka maisha ya stress na mshikemshike oa huku

njoo tukuoe wewe basi
 
Shemeji
 
Wewe ni kiazi sana mkuu. Samahani kwa kukutusi. Kwa sababu umetaja karibu nusu ya Tanzania.
 
hao vimeo bana usitete uozo
 
Kweli mkuu mi nashangaa sana hivi hayo mambo ya makabila yanatokea wapi...

Kuna watu tunaishi nao ni wachagga lakini wamekulia dasalam maisha yao yote naye huyu unamweka katika kundi gani.

Yaani mtu wa kuanza ku term watu kwa makabila namuona mshamba mshamba sana
 
naona akina mura na magenge yao wameshapanick wanatukana kila kona. acheni ukweli usemwe wajameni. ukweli humuweka mtu huru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…