Ewe unayetaka ndoa, ukitaka maisha ya stress na mshikemshike oa huku

Ewe unayetaka ndoa, ukitaka maisha ya stress na mshikemshike oa huku

Kama wewe sio mtu wa pande hizo, acha kabisa mawazo ya kuoa huko:

Kwa kina Mura - Wakurya na wenzao Wajaluo (huko kuna ubabe, vurugu, na utemi mwingi kwa pande zote, wanaume na wanawake, ndiyo maisha ya kawaida. Hapa muda wowote kinawaka. Kama hujazoea mazingira ya vurugu, tafrani, na mtifuano, hapa hapakufai).

Wagogo wa Dodoma pamoja na jamii za ukanda wa pwani - Wazaramo, Wandengereko, Wabondei - sehemu kubwa ya maisha yao ni starehe na uvivu. Hawapendi mshikemshike wa kujishughulisha. Ni watu wa kuridhika haraka na hawana kiu ya kuwa na maisha bora. Hatuwalaumu bali tunawaelezea jinsi walivyo.

Waha wa Kigoma, Wandali wa Ileje, Wanyamwanga, na wenzao Wanyiha pande za Mbozi, mkoa wa Songwe - huko hataria. Hapa ni nyumbani pa mambo ya sangoma a.k.a shirki a.k.a ulozi na mengine kama hayo. Kwa hiyo, chaguo ni lako.

Wapare, Wameru wa Arusha, na wenzao wa Kichagga - huko sina haja ya kurudia maana habari zao zimejaa lukuki, uchague mwenyewe tu kuzifuatilia au la.

Usiseme hatukukwambia.

Lengo la uzi sio kuchafuana bali ni kuelezana ukweli mtu mwenyewe aamue na Mola wake.

Huu ni mtazamo wa ujumla wa jamii kwa watu hawa. Ila tabia ya mtu mmoja mmoja inaweza kuwa tofauti.

Sosi ni nyuzi mbalimbali zilizoletwa hapa JF.
njoo tukuoe wewe basi
 
Shemeji
Mimi ni mjaluo nimekulia zaidi dar lakini kila mwaka lazima nirudi Buturi kuwajulia hali kwaiyo nazijua sifa za wajaluo na wakurya. Kwa upande wa wanawake hao hawawezi kujishusha ukiliamsha dude na yeye analiamsha hii lazima ilete shida maana kwenye ndoa mwanamke anatakiwa kuwa mnyenyekevu lakini upande wa wanaume ni wapenda haki na watu poa sana ukiishi na sisi kistaarabu ila ukituzingua ngumi mkononi. Mume abaki kwenye nafasi yake na mke abaki kwenye nafasi yake ndoa itadumu lakini kama mdada anajijua ana ujeuri au elements za kiferminist basi asijichanganye kuolewa na mjaluo au mkurya.
Ora
 
Kama wewe sio mtu wa pande hizo, acha kabisa mawazo ya kuoa huko:

Kwa kina Mura - Wakurya na wenzao Wajaluo (huko kuna ubabe, vurugu, na utemi mwingi kwa pande zote, wanaume na wanawake, ndiyo maisha ya kawaida. Hapa muda wowote kinawaka. Kama hujazoea mazingira ya vurugu, tafrani, na mtifuano, hapa hapakufai).

Wagogo wa Dodoma pamoja na jamii za ukanda wa pwani - Wazaramo, Wandengereko, Wabondei - sehemu kubwa ya maisha yao ni starehe na uvivu. Hawapendi mshikemshike wa kujishughulisha. Ni watu wa kuridhika haraka na hawana kiu ya kuwa na maisha bora. Hatuwalaumu bali tunawaelezea jinsi walivyo.

Waha wa Kigoma, Wandali wa Ileje, Wanyamwanga, na wenzao Wanyiha pande za Mbozi, mkoa wa Songwe - huko hataria. Hapa ni nyumbani pa mambo ya sangoma a.k.a shirki a.k.a ulozi na mengine kama hayo. Kwa hiyo, chaguo ni lako.

Wapare, Wameru wa Arusha, na wenzao wa Kichagga - huko sina haja ya kurudia maana habari zao zimejaa lukuki, uchague mwenyewe tu kuzifuatilia au la.

Usiseme hatukukwambia.

Lengo la uzi sio kuchafuana bali ni kuelezana ukweli mtu mwenyewe aamue na Mola wake.

Huu ni mtazamo wa ujumla wa jamii kwa watu hawa. Ila tabia ya mtu mmoja mmoja inaweza kuwa tofauti.

Sosi ni nyuzi mbalimbali zilizoletwa hapa JF.
Wewe ni kiazi sana mkuu. Samahani kwa kukutusi. Kwa sababu umetaja karibu nusu ya Tanzania.
 
Mwanaume imara ni anayejishughulisha kukuza uchumi wa familia, kuilinda dhidi ya wasioitakia mema, anayewajibika kama baba wa familia n.k kimsingi anatimiza wajibu wake wa mwanaume anayejitambua.
Hawa wanawake wetu wa Kanda ya ziwa hawawezi kukuelewa eti umeamka umenyoosha miguu kwenye jamvi unangoja mama ndiyo afanye lolote ule, jioni upo kwenye kahawa.
Hapo lazima kiwake.
hao vimeo bana usitete uozo
 
People are slaves of their own experience,
Wachaga wameoa wakurya, wajaluo, and vice versa, Wazarsmo, wameoa, wahaya, wachaga and vice versa,
Ni, ujinga ku generrize kila kitu, stereo typing doesn't work and apply on Generation z, hayo Mambo ya ku ogopa wahaya eti ni Malaya, au, wachaga watakuua wachukue Mali, au, wasukuma hawana table manners yalikuwa, ya enzi, za Giza na wahenga
Kweli mkuu mi nashangaa sana hivi hayo mambo ya makabila yanatokea wapi...

Kuna watu tunaishi nao ni wachagga lakini wamekulia dasalam maisha yao yote naye huyu unamweka katika kundi gani.

Yaani mtu wa kuanza ku term watu kwa makabila namuona mshamba mshamba sana
 
naona akina mura na magenge yao wameshapanick wanatukana kila kona. acheni ukweli usemwe wajameni. ukweli humuweka mtu huru.
 
Back
Top Bottom