EWURA: Bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kuanzia Jumatano, tarehe 3 Agosti 2022

EWURA: Bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kuanzia Jumatano, tarehe 3 Agosti 2022

Watu wanawaza mishahara tu, yani wanajiangalia wao tu 😁 kwamba yakipanda sio ishu kwakua kuna nyongeza ya mshahara 😁 na ambao wamejiajiri je! Hawana haki!! Hii nchi ngumu sana
 
USD imekuwa stronger against any currencies ndani ya kipindi cha wiki mbili hizi, sio shilingi tu ambayo imezingua.
Always try to read to understand mkuu, kuna nchi za hapa sadc, zimeshashusha bei za mafuta kwa zaidi ya 10% na hii imewezekana kutokana na kushuka kwa crude 🛢 katika soko la dunia na uimara wa fedha zao!

Tusipo Anza kuongea ukweli baada ya muda ukweli will catch with us nchi yetu tuanze upya kuijenga katika misingi imara, unafiki hautufikishi popote
 
Tuna viongozi vilaza sana, yani makampuni ya kuchezesha kamari yanapunguziwa kodi afu mambo ya muhimu wanakomaa na makodi ya kukandamiza wananchi?

Sawa, tutafika tu wanapopataka.
Kama waziri anamiliki kampuni la betting unatarajia atafanya Nini ...!!
 
Watu wanawaza mishahara tu, yani wanajiangalia wao tu [emoji16] kwamba yakipanda sio ishu kwakua kuna nyongeza ya mshahara [emoji16] na ambao wamejiajiri je! Hawana haki!! Hii nchi ngumu sana
Uzezeta ni pamoja na kung'ang'ania taarifa mfu! Walioongezewa mshahara watu Gani? Kiasi Gani? Elfu 20 itanunua lita ngapi za mafuta kwa mwezi? Let's be realistic !!
 
Kuna mtu amearibu uchumi wetu na yupo yupo tuhatujui no anafanya aondoke haraka na CDM safari hi wametulia haswaa
 
Kwenye soko la dunia, bei imeshuka kiasi. Huu ni uzushi
 
Back
Top Bottom