EWURA: Bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kuanzia Jumatano, tarehe 3 Agosti 2022

EWURA: Bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kuanzia Jumatano, tarehe 3 Agosti 2022

Lita moja ya mafuta ni beer mbili na fegi za jero. Aaahh bora mtu ulewe tu chuma weka juu ya mawe.
 
Wale mashangazi wapo kimya angekuwa mnyonge wao Mwendazake twitter inge lipuka bin kufongoka.

Okay tujiandae na mlipuko mwengine wa bei za vyakula mitaani,hapo sasa tufunge Mikanda kama hauna mkanda funga mkwiji.

Wale wenye mimba zao za chuki za Mwendazake zisizo komaa hizi bei hazi wahusu hizi special kwa Sukuma Gang.
 
Kwa trend hii mbona TZS4,000 very soon yani. Kuweka mafuta ya 10,000 kwa sasa ni kulinajisi gari, I'd rather leave it at home na kukamata mtarimbo wa daladala(for those with cars at home)
 
Petrol ni Tshs 3410 kwa lita 1
Dizeli ni Tsh 3322 kwa lita 1
Mafuta ya Taa ni Tsh 3765 kwa lita 1

VIWANGO HIVI NI KWA MUJIBU WA EWURA .

Bei hizi mpya zitaanza rasmi tarehe 3/08/2022 .

Mungu ibariki Tanzania .
05090685-D267-4BA2-B1F5-6D2E3A563630.jpeg
 
Petrol ni Tshs 3410 kwa lita 1
Dizeli ni Tsh 3322 kwa lita 1...
Kama wabongo wana uwezo wa kulipia buku buku kwa mange kimambi na kushinda kutwa kwenye internet kufwatilia issue za akina Nandi, Kajala Diamond na mambo mengine ya hovyo wacha yapande tu haya sio sehemu ya matatizo ya watanzania.

Shida na matatizo ya watanzania ni issue za akina Manara, Nandy, Kajala na Harmonize na sasa issue ya Raivany inawapasua kichwa sana, waachie washughulike na hayo kwanza.

Go Samia Goooooo!!!
 
Petrol ni Tshs 3410 kwa lita 1
Dizeli ni Tsh 3322 kwa lita 1
Mafuta ya Taa ni Tsh 3765 kwa lita 1

VIWANGO HIVI NI KWA MUJIBU WA EWURA .

Bei hizi mpya zitaanza rasmi tarehe 3/08/2022 .

Mungu ibariki Tanzania .
Billion 100 imeshalambwa tayari??
 
Kama wabongo wana uwezo wa kulipia buku buku kwa mange kimambi na kushinda kutwa kwenye internet kufwatilia issue za akina Nandi, Kajala Diamond na mambo mengine ya hovyo wacha yapande tu haya sio sehemu ya matatizo ya watanzania...
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom