kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,257
- 12,244
Kwa sababu ni nchi ya walamba asaliUlaya na Marekani bei imeshuka kwa week 3 mfululizo.
Mwanzoni ilikuwa $6 kwa gallon. Sahivi ilishuka mpaka $4.
Iweje Tz ndo iwe inapanda tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sababu ni nchi ya walamba asaliUlaya na Marekani bei imeshuka kwa week 3 mfululizo.
Mwanzoni ilikuwa $6 kwa gallon. Sahivi ilishuka mpaka $4.
Iweje Tz ndo iwe inapanda tu?
Kiazi kweli wewe!Kupanda kwa bei ya Mafuta sio jambo la Ajabu, tunalalamika sana bila kufanya tafiti katika Nchi nyingie wakwemo majirani zetu na hata kule Ulaya na Marekani...
Aisee! Kwani kila siku wakipandisha bei kisungizio kikiwa soko la dunia inakuwa sio mafuta ghafi? Sometimes kama huna utetezi ni vizuri kukaa kimya tu.Hayo ni mafuta ghafi mkuu.
Ndio ishaongezeka tayali mkuuHaiwezwkani kuongezeka kwa zaidi ya TZS 500, hilo napinga. Ikiongezeka kiasi hicho basi we have a very corrupt, incompetent and shambolic government that needs to be dissolved very fast.
Siasa mbaya sana.Kupanda kwa bei ya Mafuta sio jambo la Ajabu, tunalalamika sana bila kufanya tafiti katika Nchi nyingie wakwemo majirani zetu na hata kule Ulaya na Marekani...
Kwani Hali ya upandaji bei ya mafuta duniani/nchi nyingine za jirani ikoje? Embu tuwe tuna argue kwa facts na data.
Lakini sio kwa TZS 500 mkuu, ongezeko la 500 kwenye wese ni kubwa mnoNdio ishaongezeka tayali mkuu
Kweli kabisa, watawala wanakula bure...hivi watatukumbuka vipi.Uzuri wa sisi Watanzania tunaishia kulalamika alafu maisha yanaendelea kama kawaida hivyo hivyo kimkanda mkanda......hata yakifika 10,000/=...
Inatakiwa busara, hekima na ubinadamu kwa aliyeshiba kumkumbuka mwenye njaa........watawala wetu wamekosa vitu vyote hivyo ndio maana wamekuwa Wepesi katika kuwaongezea mizigo ya maisha wananchi badala kumpunguzia mzigo wa maisha.Kweli kabisa, watawala wanakula bure...hivi watatukumbuka vipi.
Eh vilainishi tena?!!Ukitaka kuwajua kuwa Watanzania wana misimamo na wanajua haki zao piga marufuku vumbi la kongo......pandisha Bei za guest house na Lodge........fukuza dada poa wote barabarani....piga marufuku ya uuzwaji wa vilainishi kwenye mafamasi yote nchini......hapo ndio watanzania wanapofikia kikomo Cha uvumilivu
Duh! Hizo daladala na bodaboda si vyombo vya Moto pia? Itakugusa kwasababu nauli zitapanda.Poleni wenye vyombo vya moto
Acha sisi tuendele kupanda bodaboda, daladala,lift
Ova
Duuh mkuu utafanya tunyimwe lift wakistukia hii mbinuPoleni wenye vyombo vya moto
Acha sisi tuendele kupanda bodaboda, daladala,lift
Ova
Ndio mkuu....vijana wanasemaga ni moja ya nyenzo muhimu kwa ufanisi wa shughuli zao.....Eh vilainishi tena?!!